nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Ni kweli mkuu, maana wajumbe wengi 201 waliobaki bungeni ni wapenzi au washabiki wa maccm! Wanashabikia serikali 2!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja za kuokota mtaani mnaona ndiyo hoja hukumbuki kuwa Lipumba alikwenda kuomba kura msikitini lakini watu wakampuuza tu.Skype
===>Kumbe huyu President Elect ndio mtaalamu wa Audio sio?Mwambie atuletee hapa tumalize ubishi,maana yeye (Lukuvi) kamwaga mboga UKAWA wanamwaga UGALI
===>Na lingesemwa na CHADEMA au CUF lingekuwa gumzo mpaka basi.
mwa 4Hoja za kuokota mtaani mnaona ndiyo hoja hukumbuki kuwa Lipumba alikwenda kuomba kura msikitini lakini watu wakampuuza tu.
I would suggest vyama vya upinzania visiishie hapa, viungane viunde chama kikubwa chenye nguvu
Ndio mana unawashwa
Wadau,
kitendo cha UKAWA KUJITOA ktk majadiliano ya Katiba ya kuhalalisha ufidhuli wa Interahamwe - ccm na kundi Lao la 201 ni jambo la kishujaa sana na kinaungwa mkono na kitaungw mkono na umma WOTE.
kilichobakia ni TATIZO kuu ambalo ni TUME HURU YA UCHAGUZI. Hii TUME iliyopo sasa ni kundi la ccm na ndio limefanya matatizo kuwa makubwa mno ktk CHAGUZI zote mbazo ccm imelazimishia ushindi ikishirikina na TUME, na HIVYO kuip ccm nguvu ktk bunge kujihalalishia wingi na kujipitishia maamuzi na yaliyojaa kimagumashi na ufidhuli.
tunaomba UKAWA wasimame imara ili kuvunjwa TUME ya uchaguzi ili kupata TUME huru n itakayosimma KURA za moni kama tutafika hatua hiyo. Muda Ndio sasa...la sivyo hata ikitokea KURA za maoni, matatizo ya kuchakachua kwa kupitia TUME hii upo pal pale...Katiba Mpya ya HAKI itakwama.
nawasilisha.
Nini kimetokea kwani huko bungeni?