Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

kilichobakia ni TATIZO kuu ambalo ni TUME HURU YA UCHAGUZI. Hii TUME iliyopo sasa ni kundi la ccm na ndio limefanya matatizo kuwa makubwa mno ktk CHAGUZI zote mbazo ccm imelazimishia ushindi ikishirikina na TUME, na HIVYO kuip ccm nguvu ktk bunge kujihalalishia wingi na kujipitishia maamuzi na yaliyojaa kimagumashi na ufidhuli.

tunaomba UKAWA wasimame imara ili kuvunjwa TUME ya uchaguzi ili kupata TUME huru n itakayosimma KURA za moni kama tutafika hatua hiyo. Muda Ndio sasa...la sivyo hata ikitokea KURA za maoni, matatizo ya kuchakachua kwa kupitia TUME hii upo pal pale...Katiba Mpya ya HAKI itakwama.

nawasilisha.[/QUOTE]plz some body post the speech of Tundu Lisu about nyerere
 
....

.....Udhaifu wa Akili Kichwani...
(UWAKI) ni Hatari kwa Afya ya Taifa letu !!!



Watu kama hawa utawapa elimu gani ili waiongoze Tanganyika?....Useless!

CCM group is simply an having completely expired consciousness...
 
Wajinga wanafikiria kurudisha posho!
Wenye akili wanafikiria kuheshimiwa kwa maoni ya wananchi...
 

Hahahaha, upo kaka??
Unajua sisi sisiem akili yetu ni finyu na ndogo na hatutaki kutatua tatizo lililoko mbele yetu zaidi ya kuweka matumbo yetu mbele.
Hapa katiba hamna kama ikipatikana tunaweza ipata 2017 otherwise kuna kichapo kitatokea
 
Watadanganywa wazanzibar wa ccm hapa Dodoma lakini wakirudi Zanzibar utawaka moto wa usaliti mpaka wataona bora wangekubali serikali tatu.
 
Ccm wameshinda kwa hoja za matusi .nilikuwa najiuliza sana ni jinsi gani Ukawa wanavyoweza kuvumilia matusi,kebehi..matambo,dhihaka .toka asubuhi mpaka jioni ,kwa kweli nimewadharua sana aina ya viongozi ndani ya ccm.


I wish kuwauliza walikuwa wanasubiri nini???!!!
Indicators gani zimekuwa clear sasa na sio mwanzo kuwa hakuna la maana walilolifanya kwa kukaa muda wote huu???!!!!

Dhamira za wanasiasa ni mtihani mgumu sana!!!!
 
Ndio msimamie katika mnalotaka wenyewe manake na mkijitoa msirudi tena, hii sio mara ya kwanza kujitoa uzuri wake presidaa ndio kachagua achague wengine kuziba pengo lao maisha yaendelee muda wote waliokaa bungeni hakuna la maana walilofanya na walipaswa kuwa wameshatoka kitambo.

Tume huru mtaipataje kama tabia yenu ni kususasusa.


 


....utumwa wa fikra kazini !!!!


 
Tangu wametoka bunge limekuwa na nidhamu ya hali ya juu kumbe chadema na cuf ndiyo tatizo wakafie mbali kabisa tumechoka na vurugu zao.
 
Na posho yote from day 1 warudishe kwa hasira, manake wabongo wanagomeaga vitu visivyowazuru.

I would suggest vyama vya upinzania visiishie hapa, viungane viunde chama kikubwa chenye nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…