Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Tangu wametoka bunge limekuwa na nidhamu ya hali ya juu kumbe chadema na cuf ndiyo tatizo wakafie mbali kabisa tumechoka na vurugu zao.

pole sana. Watu kama nyie mnaoshikiwa akili ndio hufa maskini. Hamna tofauti na toilet paper.
 
Wananchi znz wanatakiwa kuwa makin na hawa wanafiki wao. Ukweli ni kuwa hayo si Maoni yetu wazanzibar bali ni maoni ya chama chao, Znz kwanza chama badae. Wananchi tuwaadhibu hawa wanaotudhalilisha katika bunge la katiba
 
Nawashangaa wabunge wa ccm waliobaki ukumbini badala ya.kueleza ni jinsi gain watatatua kero za muungano. ktk serial I mbili bado wanawashambulia waliotoka ukumbini. He kweli wanna. ufumbuzi wa kero za muungano?
 
Sema wewe mwananchi sio sisi wananchi ,,acha unafiki nduku wewe,kwani wewe ndio msemaji wa wananchi????
 
Hahahaha, upo kaka??
Unajua sisi sisiem akili yetu ni finyu na ndogo na hatutaki kutatua tatizo lililoko mbele yetu zaidi ya kuweka matumbo yetu mbele.
Hapa katiba hamna kama ikipatikana tunaweza ipata 2017 otherwise kuna kichapo kitatokea

Aise nipo mkuu wangu japo wewe ni "mwana ccm" lakini unanikera jambo moja tu, unawasaliti ukoo wa panya kwa kuwasilisha fikra zako kwa uhuru namna hii. Au umetakrimiwa na UKAWA? Teh teh teh, mkuu fanya nilichokuagiza ila kwa tahadhari kubwa ukizingatia yaliyompata Horace Kolimba, Imran Kombe na wengineo.
 
Jamani sikuwa kwenye runinga naomba mnijulishe kwa ufasaa kwa nini UKAWA wametoka nje ya bunge

Tafadhali usiandike hisia zako nijuze tu kilichotokea
 
CCM hata bila kukusanya maoni ya wanaccm kama wanataka serikali mbili wao wamechukua jukumu la kuwaamulia serikali wanayitaka wao na kuponda ile iliyotokana na mkusanyiko wa maoni wa wananchi
Aibu sana sana sana!!!!!!!!!
 
Baada ya jamaa kutoka MaCCM wamebakia kushika tama na ule ujuwaji wote waliokuwa nao wamebaki kukabiliana wenyewe kwa wenyewe.
 
Hoja za wana CCM zimekosa mashiko kwani wengi wamebakia kupiga DOMO bila kuwa na convincing documents za kuonyesha kupinga Serikali 3. Lissu amejitahidi kutumia douments nyingi ikiwamo kulinganisha contents za Katiba ya zanzibar na ya Muungano zinavyokinzana na hivyo kuwepo umuhimu wa katiba ya Tanganyika. Hilo CCM wakaziba masikio kama kawaida yao wakabkia kupiga domo. Bora waachane na vilaza wasiotaka kutumia akili bali hisia na ushabiki
 
Wananchi tumasema tunataka serikali 3 ninyi hamtaki subiri kitakacho tokea.
 
..sasa bunge la katiba liendeshwe fasta-fasta.

..tena wapige kura ya wazi, watupatie rasimu kamili kabla ya bunge la bajeti.
 

Kama ukiunganisha serikali mbili unapata serikali mbili.......ok au tuseme hivi...kama ukiunganisha nchi mbili unapata nchi mbili...basi mwalimu wangu wa hisabati alinidanganya.

Ukweli utabaki ukweli tu, kwamba ukiunganisha serikali mbili ni sharti upate serikali moja na ukiunganisha nchi mbili ni sharti upate nchi moja, nje ya hapo hakuna muungano, tutafute jina lingine!!!!!

Kwahiyo kama tunataka muungano basi ni sharti unguja na pemba kuwa kama mafia na huko kuwe na mikoa na wilaya, nchi ibaki kuwa moja (Tanzania) tuachane na haya malumbano yasiyoleta kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…