KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Mkuu Chachu Ombara unafanya kazi saa ngp? au uko dukani?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i am sure wewe ni mfua nguo wa pale magogoni! ndiyo maana kikwete na lukuvi wanawatisha watanzania kuwa wakichagua serikali tatu jeshi litachukua nchi? kikwete ndiye anafanya siasa,! yeye anaalikwa kufungua bunge la katiba yeye akadhani anahutubia kikao cha nec! shame on you!msanii ni mbowe na genge lake mnao fanya siasa hata kwenye meza ya uandishi wa katiba. i mean full time politics is unprogressive and hopeless kwa maneno mengine kusimamisisha maisha ya watu wote na mambo mengine yote hadi siku akiwa kiongozi wa nchi , haa ni ujuha, upumbavu na ni upumbavu ulio wa hali ya juu kwa wafuasi kama wewe
Wananchi wazalendo tunalaani sana huu uhuni wa UKAWA, kuchukua Posho na kutoka nje ya bunge maalum bila sababu za maana!
Hawana jipya hao alafu mpango wa kuondoka bungeni inaoneka walikuwa wameisha usuka kitambo!
UKAWA wamekosea sana kutoroka mjadala wa kibemokrasia.ni kosa kukimbia mawazo ya walio wengi kama ujanja wa kushinikiza maoni yako.katika mambo ya msingi kitaifa itakuwa
Kufikia maamuzuzi kwa kuogopa wasusiaji au kwa kuwaonea huruma.hata sisi tusio ndani ya bunge tunatofautiana lakini tunaheshimu maoni ya wengi.mfano tunatofautiana katika yafuatayo;
1)Wapo wanaotaka mahakama ya kadhi na kujiunga oic.wapo wenye mtazamo tofauti kabisa.hatumalizi tofauti hizi kwa kususia majadiliano
2)wapo waodai zanzibar inapunjwa na tanganyika.wapo wanaodai zanzibar inaipunja tanganyika kwa kupata migao mbali mbali ambayo ni mikubwa sana ikilinganishwa na uwiano wake wa idadi ya watu au mchango wa uchumi
3)wapo wanaotaka tanganyika iwe nchi na zanzibar nchi nyingine.wengine wanaona hii haifai
Sasa UKAWA ikitoroka majadiliano inataka wananchi tushughulikie vipi tofauti zetu?ama wanataka kuhamasisha utaratibu fulani?
Vijana wa CCM kwenye ofisi za umma....? Kwani waajiriwa wa serikali ni wanasiasa nyie mshavurugwa na mmevurugika vizuri kwa taarifa yenu hakuna Serikali tatu hapa.
Acha kuongea uharo kama unawaza kwa kutumia nyuma ,ukawa wanawawakilisha wananchi walio nje ya bunge huku ccm mkitumia uwingi wenu ndani ya bunge kupitisha upuuzi,,haya muwe huru sasa pitisheni kila mnacho kitaka kwa uhuru mashetani nyie,UKAWA NA WANANCHI CCM NA WACHUMIA TUMBO.
"Walioelimika tu ndio ambao wako huru".Heraclitus.
Hujui kwamba hata kama wakikomaa bado watahitaji wananchi kwaajili ya kura? Sasa kama hakuna hata dalili za kufikia kura ya wananchi ni bora kuacha mapema ili kutoa elimu!!tusiunge mkono kila kitu,upuuzi waliofanya ukawa ni wakitoto,wamejidhalilisha na kuonekana kama umoja wa wahuni,mbinu za kitoto na hasira hata sikumija hazileti mageuzi,
Je wanamageuz wa zamani walifanya upumbav kama hu?
R,I,P UKAWA na serikali 3 ni zaidi ya ndoto,bora mngekomaa mulemule ndani mngeeleweka kimtindo,na kama mnategemea wananchi wawasaport mmepoteza maboya kwishaaa...
JK is behinde all this, alienda kulichafua bunge sasa ccm watatunga kweli katiba waitakayo
Watadanganywa wazanzibar wa ccm hapa Dodoma lakini wakirudi Zanzibar utawaka moto wa usaliti mpaka wataona bora wangekubali serikali tatu.
Hizi ndio hoja zenu.si majifahamu!
Kutukana ni dalili ya uoga na kufilisika kihoja hivyo basi baada ya kufuatilia comments za watu wengi wanaotaka serikali tatu naona wamejaza matusi tu kejeli badala ya kujadili hoja.
Acha kufuru za kijinga na Wassira wako, usibashiri ila tafiti ndipo useme!!Mkuu mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Hawa UKAWA ni maagent wa Shetani kama ambavyo Wassira amesema.
swali langu limekuacha kwenye mataa?...Umefuatilia na kusikiliza wanachokidai au unaandika kwa kufuata upepo bila kufuatilia na kusikiliza kinachodaiwa.
Kutukana ni dalili ya uoga na kufilisika kihoja hivyo basi baada ya kufuatilia comments za watu wengi wanaotaka serikali tatu naona wamejaza matusi tu kejeli badala ya kujadili hoja.
Kama mlivyopuuzwa na wazanzibar?Hamna lolote!
Ukiwaunga mkono Ukawa lazima ujitoe akili kwanza!
Watanzania tutawapuuza!