Winston Mtanzania
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 340
- 117
Kaa chini ndugu utafakari kwanza kabla hujaropoka.
Hii katoa nani? Halafu naomba kufahamu uhusiano wako wewe Nduka na Nduka Original. Vinginevyo karibu kwenye uzi.
Lema anatembea navyo kwenye mkoba wake anawagawia wenzake, akisaidiwa na sugu
Wakuu JF Amani iwe nanyi.
Bunge Maalum la katiba linaendelea kutufumbua macho as days goes on.
Leo tumekuja kujua kuwa Ndugu zetu wa Zanzibar pamoja na jeuri yao yote kumbe hawajiwezi na wamekiri kabisa kuwa wao Zanzibar kama Zanzibar hawawezi kufanya kitu bila Tanganyika.
Wamekiri kuwa hawajiwezi kabisa katika masuala mbali mbali, Umeme, Elimu, Madawa, Shule etc etc wengine mtakuja hapa kujazilizia.
Wameenda mbali zaidi na kusema kuwa wao hata wakipewa kiti UN Hawataweza kumgharimia huyo balozi wao huko ughaibuni.
Wa Zanzibar hao wanakiri kabisa kuwa ndani ya Miaka ya 50 ya Muungano wamefika hapa walipo kwa Fadhila za Tanganyika.
Haya yameelezwa na wabunge wa CCM kutoka Baraza la wawakilishi Zanzibar.
Waone Barubaru Pasco, Bobwe , dudus 50thebe n.k
We mbulula viwanda, uchimi hata elimu haviji kama una mfumo legelege wa utawala na utawala hautoki mbinguni!, that's why wako pale wanajadili jinsi yaku-run mambo yetu! Sasa wewe kwa sababu hujitambui unafiki viwanda vinaota kama uyoga!!!! Viwanda ni uchimi na uchumi ukue unatokana na sera madhubuti, sera madhuti zinatokana na utawala/ serikali imara ambayo inatokana na Katiba yenye mfumo bora,wazi na madhubuti!! Sasa hiyo Katiba bora hatuwezi kuipataanataka serikali tatu na anaetaka serikali mbili nani anatafuta tonge? Shabikia ujenzi wa viwanda ndugu na sio mi idadi ya serikali isiyokuwa na tija kwa watanzania
elimu Gani watakayotoa waeleweke?Hujui kwamba hata kama wakikomaa bado watahitaji wananchi kwaajili ya kura? Sasa kama hakuna hata dalili za kufikia kura ya wananchi ni bora kuacha mapema ili kutoa elimu!!
Mimi niliandika hapa kwamba rais kuliongelea hili tu kunaonyesha alivyo hamnazo.
Kuna vitu vingine hutakiwi hata kuviongelea in passing, lest you tempt the adventurous.
Mkuu Chachu Ombara unafanya kazi saa ngp? au uko dukani?
Taarifa hii Ukawa wasusia Bunge, watoka nje" iliyochapwa na gazeti la mwananchi, imerejea alichosema Mh Lipumba haiakisi hata kidogo maoni ya WanaCCM Zanzibar. Sijui ndio yale ya kuzoea vya kunyonga aliyoyasema Mh Lissu, sijui!!
endelea kuwasifia ili baadae uje uandike bora zilezile mbili,We mbulula viwanda, uchimi hata elimu haviji kama una mfumo legelege wa utawala na utawala hautoki mbinguni!, that's why wako pale wanajadili jinsi yaku-run mambo yetu! Sasa wewe kwa sababu hujitambui unafiki viwanda vinaota kama uyoga!!!! Viwanda ni uchimi na uchumi ukue unatokana na sera madhubuti, sera madhuti zinatokana na utawala/ serikali imara ambayo inatokana na Katiba yenye mfumo bora,wazi na madhubuti!! Sasa hiyo Katiba bora hatuwezi kuipata
kupitia Bunge hili lililojaa wasaka tonge!!!
kweli mkuu hata kuzomea mnazomea kimkakatiMipasho kaka ndiyo zetu sisiem hatuna hoja inabidi tufanye hivyo
ni kweli lengo ni uwakilishi. Hata hivyo uhalisia unaonyesha kuwa wengine upeo wao uko chini mno; waliwekwa hapo kimkakati ili wapige kura kama watakavyoelekezwa na walio wengi mjengoni.Mkuu hawajaokotwa wameteuliwe kutoka kwenye makundi yao wanayofulsa nzuri na upeo mzuri sana wa kutoa mchango wao katika kutunga katiba.