Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakati sasa wa kumsamehe Zitto.
Kwani kipofu hawezi kuwa mwanachama wa CCM? Mkuu, kama swala ni kuwakilisha makundi ya kijamii, mbona Mwalimu Ezekiel Oluoch ni mfuasi na anatetea matakwa ya CHADEMA?
WAPO FM 98.1 MHzWakuu,
Je naweza tune station gani niweze pata bunge live sasa hivi.Najaribu kwa neema radio ipo ila inasikika kwa taabu mno.Hata kama ni through internet nayo ni poa.
sema wewe mkuu!
Mimi nikisema wanamwomba inakuwa nongwa.
Siku mkivunja muungano na mtatoka mtaelekea kwenu. Hapa anawananga Wapemba. Haya maneno sijayafurahia kabisa. Kinachoonekana kuna vita kubwa kati ya watu wa Pemba na Unguja
Ngoja tuwasubiri vilaza wa ufipa wanajipanga kuja kujibu aliyoyasema comred ZZK.Nimevutiwa na mchango wa Zitto
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Atata mimi pia.