Sita hana akili
Hiyo ni dalili Njema! Hapo kutajadiliwa vitu kwa umakini mkubwa bila kuchezeana. Kiti kimeshawafahamu wabunge mapema. Hiyo naiona ni nzuri.
Hajazomewa isipokuwa baadhi ya
wajumbe walikuwa wanataka kwanza rais azinduwe bunge then walioba awasilishe rasimu
mzee warioba anaonekana asiye na furaha kabisa...Wabunge wote wa upinzani wamesimama na kuanza kushangilia SITTA alipomkaribisha mzee WARIOBA awasilishe!
mkuu uliona mbali sana.
wewe ndiye uliona, tuambie nini ulichokiona zaidi
Hii ni kali sasa na cjui tunaenda wapi laki tatu zinaliwa buree tuu bora tusitishe hili la katiba maana hatukuwa tumejiandaa kisaikolojia na suala hili
mkuu kivip?