Ni kweli Mkuu kanuni zinasema hivyo. Ila imetumika kanuni ya 85 kutengua kanuni husika
Nadhani kama kawaida Star TV na TBC1 maana nawaona wapo hapa na wapo tayari kwa kazi hiyo
Mkuu wangu samahani UKAWA ni kina nani?
Mkuu wangu samahani UKAWA ni kina nani?
Wakuu, UKAWA kwa jinsi wanavyotafsiriwa hapa ukumbini wanajiita ni Umoja wa Katiba ya Wananchi. Hata hivyo tafsiri iliyo rasmi ni Umoja wa Kambi ya Wapinzani kwani inajumuisha wabunge wote wa vyama vya UPINZANII kindly forward your good question to Chabruma, please assist.
Hapa ndani ya ukumbi wapo wabunge wanataniana eti kunamnunge mmoja akijifungua mtoto watamwita kalenga sijajua wanamaanisha nini naendelea kutega sikio nipate picha.
Mkuu wangu samahani UKAWA ni kina nani?
Wakuu, UKAWA kwa jinsi wanavyotafsiriwa hapa ukumbini wanajiita ni Umoja wa Katiba ya Wananchi. Hata hivyo tafsiri iliyo rasmi ni Umoja wa Kambi ya Wapinzani kwani inajumuisha wabunge wote wa vyama vya UPINZANI
Wadau, hali ya ukumbi imeharibika.
Bunge limeahirishwa..
UKAWA wanataka kumng'oa 6 kutokana na mwenendo wake