UKAWA nao wanasema hicho kilichotenguliwa, hakiwezi kutenguliwa kwa kanuni hiyo !
Ni kweli Mkuu kanuni zinasema hivyo. Ila imetumika kanuni ya 85 kutengua kanuni husika