Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

Hapa ndani ya ukumbi wapo wabunge wanataniana eti kunamnunge mmoja akijifungua mtoto watamwita kalenga sijajua wanamaanisha nini naendelea kutega sikio nipate picha.
 
Mkuu wangu samahani UKAWA ni kina nani?

I kindly forward your good question to Chabruma, please assist.
Wakuu, UKAWA kwa jinsi wanavyotafsiriwa hapa ukumbini wanajiita ni Umoja wa Katiba ya Wananchi. Hata hivyo tafsiri iliyo rasmi ni Umoja wa Kambi ya Wapinzani kwani inajumuisha wabunge wote wa vyama vya UPINZANI
 
STAR TV hawapo online leo sijui ni nini kimewakumba. Tutakosa uhondo sie ambao hatuko sehemu yenye TV
 
Kwa kweli ukumbi unazidi kujaa na wabunge leo wameonesha nidhamu ya hali ya juu katika kuzingatia muda
 
Hapa ndani ya ukumbi wapo wabunge wanataniana eti kunamnunge mmoja akijifungua mtoto watamwita kalenga sijajua wanamaanisha nini naendelea kutega sikio nipate picha.

Mkuu hufai kuwa repota,una mambo ya kichama sana.iga Skype na Chabruma
 
Kirefu chake ni UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI.......

Umoja huu unaundwa na wajumbe wa vyama vya upinzani na baadhi ya wajumbe walioteuliwa na Rais...Lengo lake ni kupambana na nguvu ya CCM inayojaribu kubadilisha maoni ya wananchi kwa maslahi yao binafsi....

Mkuu wangu samahani UKAWA ni kina nani?
 
Wakuu, UKAWA kwa jinsi wanavyotafsiriwa hapa ukumbini wanajiita ni Umoja wa Katiba ya Wananchi. Hata hivyo tafsiri iliyo rasmi ni Umoja wa Kambi ya Wapinzani kwani inajumuisha wabunge wote wa vyama vya UPINZANI

ok,thanks kamanda.la mwisho kabisa,kuna mwenyekiti mf Mbowe kuwa KUB?
 
Mheshimiwa Sitta amesitisha shughuli hii kwa muda......ama kweli
 
Sitta amelazimisha Warioba awasilishe Rasimu kabla ya Rais kinyume na Kanuni
 
hivi kuna live coverage ambayo nnaweza cheki online kuhusu bunge la katiba, maana star tv leo michosho hawapatikani
 
UKAWA wanataka kumng'oa 6 kutokana na mwenendo wake

Mkuu nini kinaendelea huko, naona utabiri wako unatimia kuwa inawezekana leo kukatokea mgawanyiko mkubwa.!
 
Back
Top Bottom