OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wadau, hali ya ukumbi imeharibika.
mdau uwe unafafanua kidogo ili tupunguze maswali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau, hali ya ukumbi imeharibika.
Sitta amelazimisha Warioba awasilishe Rasimu kabla ya Rais kinyume na Kanuni
Wadau, hali ya ukumbi imeharibika.
Sitta amelazimisha Warioba awasilishe Rasimu kabla ya Rais kinyume na Kanuni
Mkuu nini kinaendelea huko, naona utabiri wako unatimia kuwa inawezekana leo kukatokea mgawanyiko mkubwa.!
Dah Tutafika wakuu?
Vyama vya upinzani wanatuletea mambo ambayo siyo.
Nilisema mimi kua tunakoelekea vumbi litatimka bungeni
cc MaishaPesa