MIONGOZO
Nchambi: Kuna taarifa mahakama imepinga kujadili Escrow (anazomewa sana na mwenyekiti anaomba order kwa tabu sana na anasema kila atakaeomba muongozo leo atapewa nafasi na anatoa tishio la kusitisha bunge kama makelele yanaendelea) swala liloenda mahakani pia linamuhusisha pia mjumbe, kwa kua mjumbe huyu kamati kuu CHADEMA ameenda kuomba swala hili lisijadiliwe bungeni, CHADEMA wameonyesha wanapinga swala hili, tumjadili pia na mjumbe.
Lissu: Huyu mtu ni mwanaCCM(Wakili wa PAN Afrika), mimi nimesoma nae na ndie alieua mke wake na kesi ikafutwafutwa na mimi nimesoma nae, ni kweli anafanya kazi na Mabere Marando lakini Marando hajausika. Hoja yangu ni mara ya kwanza mahakama kuu kutoa zuio bungeni, tangia mahakama kuu ianzishwe mwaka 1922, ibara ya nne ya katiba kuhusu mgawanyo wa madaraka kwa mihimili imekiukwa(Makelele mengi na miongozo). Bunge lina uhuru wa majadiliano hivyo bunge liendelee na mjadala
Sasa hapo Lissu anamaanisha nini, amemsema kiundani wakili mshirika (PARTNER) wa Marando lakini mbona hakusema ya kuwa ni shirika la kina Marando ndio wanolipwa na hiyo kampuni. They will be sharing the fees, and an associate lawyer or pratner will only take a case that is acceptable by the firm. Mabere anamtumia mwenziwe kama chambo tuu, lakini wote wanahusika