ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
pamoja na kujiuzulu best pesa zetu zinarudije?....WE WANT OUR MONEY BACK
Mafisadi wa ESCROW sasa wasalimu amri, wanaomba kinga wasishtakiwe ila wawajibike kwa kujiuzuru nafasi zao.
Naona km masaa hayaendi
ndugu yangu pesa hazirudi kwani wengine waliochkuaa wameshakula na wengine wameshapeleka kwenye mabenki yao a uswisi wewe unafikiri pesa hapo itarudi kwa mtanzania ? tutabaki kusema tu hapa ila sijui kama mahakama nayo itasaidia hili wakati wenyewe nao nasikia wamo katika mkumbo huo wa escrow
Jamani link ya kusikiliza online ipo wapi?
Ukimaliza nenda kachukue posho.
Watupe manyumba mavogue kama
Hawana wake zao na watoto zao na nyumna za michepuko yao damn
Kikao cha kamati ya uongozi kilichoketi tangu asubuhi kimeibuka na makubwa ambapo sasa Mafisadi wa ESCROW wasalimu amri, wanaomba kinga wasishtakiwe ila wawajibike kwa kujiuzuru nafasi zao.
Muhongo kafanya nini mkuu.Nimeshatune hapa kwny TV naona km vile wanachelewa! Nina hamu na werema, lukuvi na muhongo!