Uwiiiiiiii redio mbona hazirushi?
Kafanya nini tena?
Sent from Siemens S-32
leo nina imani na zitto.
Jamani tupo vijijini tafadhali
Kufanya kazi na mzungu shida sana kanibana wakati nataka nijongee karibu na TV ye ananijazia mikaratasi tu mezani.
Jamani tupo vijijini tafadhali
Jamani hayo maji aliyopewa zitto isije ikawa yana ile sumu yao jamani. Zitto USINYWEEE HAYO MAJI!!
DAH NAMPENDA MUNGU SAA HIZI!