Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
Waoga hao akina tumbiri waliohangaika kuizuia ripoti isifike bungeni.....

Mkuu, a point of correction. Tumbili ni wale waliowasilisha taarifa mezani. Mwizi na wezi wenzake including huyo uliyem quote, ndio waliokuwa wakihangaika ripoti isifike na kujadiliwa bungeni hadi wakatishia kuwakata vichwa Tumbili.
 

Hata mimi sitashangaa kwani wabongo wote wana silkana tabia moja waliomo kwenye jamvi na walioko katika bunge ni wamoja
 
Hapo ndipo ule USEMI WA SERIKALI DHAIFU UNAPODHIHIRIKA.

HAKUNA LOLOTE JIPYA HAPO. ISSUE IMEPIKWA IKAPIKIKA, JUST WAIT UTAONA NA KUSIKIA.

NAWASHAURI WATANZANIA TWENDELEENI KUWA WAJINGA MAANA TUNA AMANI.
 
Habari wakuu, naombeni ratiba ya uwasilishwaji wa ripoti ya PAC, itaanza saa ngapi? maana wengine tunataka tutoroke kazini kidogo..

Wewe mpuuzi fanya kazi na tumbo lako hilo mambo ya siasa ya nini wewe?
 
kwenye hati za mezani mambo ya PAC hayapo, mjadala umeekwa pembeni. wana escrow(wachotaji) wameshinda too sad
 
Mkuu Magazetini,jee hati ziliwasilishwa mezani?!.

Pasco

Mkuu pasco mi nimesikia kuwa hati za miamala ya account ya escrow imewasilishwa,natumaini swala litajadiliwa na naombea iwe hivyo.
 
Wabunge wengi wanaonesha wapo "exhausted" kwa kukosa usingizi wa kutosha na wengine wengi bado hawajaingia bungeni wanajipatia kausingizi japo cha masaa mawili matatu kwa mikesha ya jana ya kuchambuwa ripoti.
 
Mkuu pasco mi nimesikia kuwa hati za miamala ya account ya escrow imewasilishwa,natumaini swala litajadiliwa na naombea iwe hivyo.

kuna uwezekano ripoti ikasomwa lakini isijadiliwe kutokana na zuio la Mahakama.
 
baado dakika chache tu tujiunge rasmi na bunge letu kusikiliza nini kinajili bungeni. Werema ndiyo atajua leo kama kichwa ni kwa ajili ya kufugia nywele au kufikiri?

Mkuu kimya sana. Ukimya wako ulinifanya nipepese macho kwa makini zile bank statement za pale bank ya mkombozi, japo ukweli sijafanikiwa kuona kuona payee anayeitwa Mzee wa Rula au umelipwa na singa singa kama mapapa. Maana nasikia Rugemalila alilipa vidagaa tu. Mapapa wamelipwa na singasinga.
 
Last edited by a moderator:
Vijana wengi ni waoga sana....na wengi hamjiamini.!! Ripoti itasomwa
watu wanashughuli zao. ndo maana wanauliza wajue mjadala unaanza saa ngapi ili wapange ratiba za kazi zao. wewe unafikiri kila mmoja anakaa hapo lumumba kama wewe kuendeleza propaganda kwenye mitandao? upuuzi kabisa.
 
Maumivu ya kichwa huanza polepole, Namuona zungu na sio spika what does this tell us?
 
Wabunge wengi wanaonesha wapo "exhausted" kwa kukosa usingizi wa kutosha na wengine wengi bado hawajaingia bungeni wanajipatia kausingizi japo cha masaa mawili matatu kwa mikesha ya jana ya kuchambuwa ripoti.

Ripoti si ilikuwa mtaani siku nyingi, walikuwa hawajaisoma tu? huku mtaani tulishaisoma.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…