Mkuu Mwana Haki, hili la ukilaza, nalikubali!, hili la upuuzi pia nalikubali, ila kwa JMT, chombo pekee cha mamlaka ya kutamka amri fulani ni "null and void" ni mahakama pekee!.Wewe Pasco kilaza na mpuuzi. Bunge haliwezi kuamrishwa na mahakama ikiwa Bunge ni chombo cha kutunga sheria. Kikatiba Bunge ni mamlaka kamili. Hao majaji wametoa amri ambayo no null and void.
Au unataka ripoti ya IPTL isijadiliwe bungeni?
Kabla ya hapo nilidhani (I was wrong) kuwa mahakama itakuwa na nguvu ya kulisimamisha bunge kujadili lakini nimeona kuwa haliwezi kikatiba. Unless, yule aliyeleta kifungu hiki cha katiba awe kachakachuwa:
Ibara ya 100.-(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika
Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.
(2) Bila ya kuathiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema
au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo
haswa nasi tuliopo vyuoni tutoloke Muda wajameni ni saa ngapiiiiiiiiii????????:confused2::confused2:
Inashika kwenye mitabendi ngap dsm mkuu? Naomba kujuzwa tafadhali
Mkuu Mwana Haki, hili la ukilaza, nalikubali!, hili la upuuzi pia nalikubali, ila kwa JMT, chombo pekee cha mamlaka ya kutamka amri fulani ni "null and void" ni mahakama pekee!.
Hakuna yoyote aliye juu ya sheria!, hata Bunge lipo kwa mujibu wa sheria, na linatekeleza majukumu yake kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni!, mahakama ikitoa amri halali, mtu awaye yote ndani ya JMT ana wajibu wa kuitekeleza, hata bunge is no exceptional, kama rais tuu ambaye ndiye mkuu wa nchi, huyo Spika yeye ndio nani akaidi amri halali ya mahakama?!.
Mimi naunga mkono kiburi cha Bunge kuidharau mahakama, ili tuu ripoti isomwe!, lakini pia naelewa consequences za kudharauliwa kwa mahakama!.
Pasco.
Ahsantee mkuu hapa nina powerbank mbili.
Ripoti si ilikuwa mtaani siku nyingi, walikuwa hawajaisoma tu? huku mtaani tulishaisoma.