Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
Ripoti ya ESCROW ni saa ngapi? Au ndo kamati ya uongozi itakuja na majibu ya jambo lililo mahakani lisijadiliwe? TUNATAKA RIPOTI YA ESCROW IJADILIWE WASIJE KUCHAKACHUA.
 
Mkuu pasco mi nimesikia kuwa hati za miamala ya account ya escrow imewasilishwa,natumaini swala litajadiliwa na naombea iwe hivyo.

Pasco ana single ya kutaka wabunge wakianza kujadili wakamatwe na polisi kupitia arrest warrant kwa kukiuka amri halali kutoka mahakama inayokula rushwa
 
Umeme wameshakata, sasa naomba wadau watujuze ni radio gani inatangaza live kutoka Dodoma? kwani hapa tunaweza kusikiliza hata kwenye simu zetu.

sikiliza hapo

TBC TAIFA FM FREQUENCIES
MHz RDS regional program transmitter location Pmax
87.5 Dar es Salaam/Kisarawe (des)
87.7 Dodoma (ddo)
88.4 Kigoma (kgm)
88.5 Mwanza (mwz)
89.2 Mwanza (mwz)
89.6 Tanga (tng)
91.6 Arusha (ars)
92.3 Nachingwea (lin)
93.5 Lindi (lin)
98.7 Songea/Matagoro (rvm)
99.7 Zanzibar (Unguja) (zbw)
105.9 Masasi (mtw)


online sikiliza hapo chini
KwanzaJamii Radio on USTREAM: kwa habari za jamii. Local News
 
How does this relate to this thread, mbona mnapenda kuharibu flow ya thread za watu, si ukaanzishe yako ili uweke huo upuuzi wako?

Wacha kiherehere Moderator ameunganisha threads, hii ilikuwa inamjibu Pasco kwenye thread aliyoianzisha na sasa haipo.
 
Last edited by a moderator:
mkuu mwana haki, hili la ukilaza, nalikubali!, hili la upuuzi pia nalikubali, ila kwa jmt, chombo pekee cha mamlaka ya kutamka amri fulani ni "null and void" ni mahakama pekee!.

Hakuna yoyote aliye juu ya sheria!, hata bunge lipo kwa mujibu wa sheria, na linatekeleza majukumu yake kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni!, mahakama ikitoa amri halali, mtu awaye yote ndani ya jmt ana wajibu wa kuitekeleza, hata bunge is no exceptional, kama rais tuu ambaye ndiye mkuu wa nchi, huyo spika yeye ndio nani akaidi amri halali ya mahakama?!.

Mimi naunga mkono kiburi cha bunge kuidharau mahakama, ili tuu ripoti isomwe!, lakini pia naelewa consequences za kudharauliwa kwa mahakama!.

Pasco.
tunajua hicho ni kilembelembe cha mahakama na majaji wasaka tonge tu hakuna lolote watakalo fanya. Kama ni mshiko wameshavuta na wametekeleza wajibu wao kwa (iptl) waliowahonga. Ila spika makinda japo ni mnoko lkn hakuwa na jinsi imem'bidi asome alama za nyakati na ndio maana amefanya aliyofanya. Ww ulale ulie uzibe misikio lkn leo lazima kieleweke
 
Mkuu Mwana Haki, hili la ukilaza, nalikubali!, hili la upuuzi pia nalikubali, ila kwa JMT, chombo pekee cha mamlaka ya kutamka amri fulani ni "null and void" ni mahakama pekee!.

Hakuna yoyote aliye juu ya sheria!, hata Bunge lipo kwa mujibu wa sheria, na linatekeleza majukumu yake kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni!, mahakama ikitoa amri halali, mtu awaye yote ndani ya JMT ana wajibu wa kuitekeleza, hata bunge is no exceptional, kama rais tuu ambaye ndiye mkuu wa nchi, huyo Spika yeye ndio nani akaidi amri halali ya mahakama?!.

Mimi naunga mkono kiburi cha Bunge kuidharau mahakama, ili tuu ripoti isomwe!, lakini pia naelewa consequences za kudharauliwa kwa mahakama!.

Pasco.

Mkuu Pasco walau nakubaliana na wewe kwenye highlight yangu ya kwanza. Ila kwenye highlight ya nne napata ukakasi kidogo kukubaliana na wewe kuwa amri iliyotolewa ni halali. Mimi nafikiri we can not obey unjust law and or order, bila kujali imetoka katika mamlaka ipi. Nakumbuka Professor Shivji versus Pius Msekwa juu ya Supremacy of the Parliament.

Vyovyote vile iwavyo, amri ya mahakama inakuwa defeted by the so called PUBLIC INTEREST japo nowhere imetafsiriwa juu maana hasa ya MASLAI YA UMMA. Siyo sheria au agizo lita-PREVAIL OVER PUBLIC INTERSEST.
 
Last edited by a moderator:
pinda hayupo, makinda hayupo, muhongo hayupo, tibaijuka hayupo, chenge hayupo, ngeleja hayupo.
 
Hivi ratiba inasemaje kuhusu eskoroo?

Hoja zilizowasilishwa mezani na katibu wa bunge ni Ripoti ya CAG kuhusu Esrow Acc KABLA ya kipindi cha maswali na majibu kinachoendelea sasa kuanza.
 
Mambo yote nyuki wa escrow wamwagwe ukumbini...hawa kina Zungu tushawazoea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom