mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
wakuu mbona huyu anaongoza bunge. wapi makinda
Fungua frequency 87.5 FM utapata mambo live , ila kama uko dar tu mkuu mwambojoke
jaribu kurefresh hiyo webpageMkuu MEADU mbona kama hii USTREAM iko kimya tu tangu niifungue? ni internet yangu kimeo au kuna kitu nakosea, sitaki kukosa kusikia hii riport "from the horse's mouth"!
nipo dar, tena hapa maeneo ya mliman city lakini sipati hii. inalia chenga tu
karatasi zina pepea tu nadhani kuna majini bungeni hata muongoza bunge amestukia
Pasco soma hapa ili uzidi kuelimika mpe na Mzee Mwanakijiji kama unaye karibu hapo,Ailinda, asante kwa hii maana hapa hapa kwetu umeme umekwenda zake!.
Pasco
Ibara ya 100.-
(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.
(2) Bila ya kuathiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo
Wakuu mtupe update za hapo dodoma sasa hivi ripoti inasomwa au?
Nipo mwanza kirumba umeme umekatika sijui ni mwanza nzima naomba mnijuze
mawaziri wanatetemeka sana hasa Mulugo