Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
Jamani hi kitu ni sa ngp? Nisha subiria nimechoka afu mbona watuhumiwa wote hawapo?,ni nini kinaendelea hapa
 
Wanabodi,

Kwa mliongalia bungeni leo kupitia Star TV, Jee baada ya ile amri ya Mahakama jana kulizua Bunge kujadili hoja ya Escrow, jee kuna yeyote aliyeona hati zilizowasilishwa mezani asubuhi hii leo?!, Jee Ripoti ya CAG ya Ukaguzi Account ya Tegeta Escrow, na Maoni ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC imewasilishwa mezani?!.

Kama zimewasilishwa, hii inamaanisha Bunge letu tukufu, litakuwa limeidharau amri halali ya mahakama!. Amri yoyote halali ya mahakama ni enforceable by law, hivyo amri hii inapopuuzwa, arrest warrant hutolewa kuwatia mbaroni waliopuuza amri hii!, Bunge likiipuuza amri hii, jee baada ya mahakama kupuuzwa, will it enforce it?!, Jee Spika Makinda na Katibu wa Bunge Dr. Kashilila, watatiwa mbaroni leo?!.

Endelea kufuatilia.

Pasco.

Hivi mkuu Pasco umetumwa kuja na mafisadi wa ESCROW kuja kuzuia indirectly hili suala la wizi hapa jukwaani JF?
Mie naona hata vidole vyangu vina tetemeka kila nikitaka kuandika kukujibu, napata ghadhabu kuu nikiona unatete uovu huu. The end will come to justify the commencement. Hakika hakuna kitachosalia kwenye hili sakata. Stay tuned .
 
Last edited by a moderator:
Jamani hi kitu ni sa ngp? Nisha subiria nimechoka afu mbona watuhumiwa wote hawapo?,
 
Duh umeme manyoni wameshachukua tayari.
Du!, nilidhani ni kwangu tuu!. Usikute leo Tanesco walikuwa wanautegemea umeme wa IPTL!, maana ni saa 4 juu ya alama, umeme kwenda zake!, utawaka saa 7 mchana!.

Pasco.
 
Kabla ya hapo nilidhani (I was wrong) kuwa mahakama itakuwa na nguvu ya kulisimamisha bunge kujadili lakini nimeona kuwa haliwezi kikatiba. Unless, yule aliyeleta kifungu hiki cha katiba awe kachakachuwa:

Ibara ya 100.-(1) Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika
Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge.

(2) Bila ya kuathiri Katiba hii au masharti ya sheria nyingine yoyote inayohusika, Mbunge yeyote hatashtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kutokana na jambo lolote alilolisema
au kulifanya ndani ya Bunge au alilolileta Bungeni kwa njia ya maombi, muswada, hoja au vinginevyo

Mkuu faiza foxy muda umeleta kikata mzizi. Ingawa kuna watu watajifanya wamejitoa ufahamu kupinga wakati kitu kiko wazi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Uzi leo umetulia kweli.... Lizaboni amekula ban.....akirudi atakuwa na adabu.
 
Last edited by a moderator:
sasa nizahili kwamba zimebaki dakika hukumu kutorewa ndani ya bunge . Anna tibaijuka ulisema aukuja kuganga njaa sasa inakutokea puwani mbunge wanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.....,...

ACHA PAPARA TULIA NA UANDIKE KWA TARATIBU NA KABLA HUJATUMA ISOME MSTARI KWA MSTARI. neno ni zahili linasomeka NI DHAHIRI. na neno aukuja linasomeka HAUKUJA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom