Mkuu, bado wabunge wqnaendelea kuingia ukumbini. Stay connected.
Siyo kweli mkuu yapo mambo ya kiutendaji tu lakini yatakuwa solved punde.huenda watu wameshapiga mahesabu, waongeze cku ngapi ili wapate amount ile ile mliyowapigia kelele wasiipate.
Akili kumkichwa
Hakuna matata ndugu. Nipo humu ndani na hakuna kitakachopita kisiripotiwe kama tunavyofanya siku zote
Mkuu, katika suala hili la Katiba, tofauti zetu ziwekwe kando na ndo maana JF wametuwekea Jukwaa la Katiba Mpya ili tusichanganyane kama inavyokuwaga kwenye lile jukwaa letu la siasawewe dogo Chabruma, hakuna kitakachopita kisiripotiwe? Kama kinahusu mashetani ccm?Wewe ni buttliker wa magamba,inajulikana!!.