Wataleta mkuu. Ila kwa sasa hakuna jipya. Sanasana watawaonesha sura za wabunge tu ambao mnawajua
Pamoja sana Mkuu. Je kwa upande wa vyama vingine, misimamo yao ipoje kwa sasaa. Au umehudhuria mkutano wa ccm tu?Bungeni Dodoma: CCM yasisitiza kura ya wazi na kukataa maamuzi ya theluthi mbili
Nipo ndani ya bunge now na ccm wamemaliza mkutano wao soon kwa kukataa katakata kura ya siri katika maamuzi yote na kutaka kura ya wazi. Aidha ccm pia wamekusudia leo hii kurudisha nyuma kwa kutengua kanuni ya upitishaji maamuzi ili iwe nusu ya wajunbe wa zanzibar na nusu ya watanganyika na kuifuta theluthi mbili iliyokubalika na kupitishwa.
Kamati aliyounda kificho ya maridhiano imeshindwa kukubaliana na hadi ninapotuma andiko hili bado kikao kinaendelea cha kamati ya maridhiano kujua cha kuganya kwani kikao huenda kikavunjika mapema leo.
Endeleeni kusubiri zaidi
Pole sana mkuu. Wewe ni miongoni mwa Watanzania wengi wanaokosa uhondo. Hata hivyo naamini mambo yakiiva wataweka hewani. Nawaona wawakilishi wa TBC1 wapo hapa na kila kitu kipo sawamkuu wamenikatisha tamaa maana nina hamu ya kuona kinachojiri mjengoni Leo siunajua tena !!
hapo umenigusa siupendi kabisa huu muungano wa tembo ina sisimiZi then sisimizi anataka chakula saw a na tembo Tanganyika kwanZaWe chabruma hakikisha katiba mpya haina zanzibar make yaya majamaa yalienda yakaandaa katiba 2010 bila kutushirikisha.
Hakikisha Tanganyika ina onekana kwenye sura ya Tanzania vinginevyo msirudi uraiani!
Getstart sheria ya mabadiliko ya katiba iko wazi lakini ccm wanataka mambo yao yatimie hata ikiwa against the law
Pole sana mkuu. Wewe ni miongoni mwa Watanzania wengi wanaokosa uhondo. Hata hivyo naamini mambo yakiiva wataweka hewani. Nawaona wawakilishi wa TBC1 wapo hapa na kila kitu kipo sawa
Tupieni update.Lango la Bunge linafungwa na mwenyekiti anaketi