Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

We chabruma hakikisha katiba mpya haina zanzibar make yaya majamaa yalienda yakaandaa katiba 2010 bila kutushirikisha.

Hakikisha Tanganyika ina onekana kwenye sura ya Tanzania vinginevyo msirudi uraiani!
 
Getstart sheria ya mabadiliko ya katiba iko wazi lakini ccm wanataka mambo yao yatimie hata ikiwa against the law
 
Last edited by a moderator:
Bungeni Dodoma: CCM yasisitiza kura ya wazi na kukataa maamuzi ya theluthi mbili


Nipo ndani ya bunge now na ccm wamemaliza mkutano wao soon kwa kukataa katakata kura ya siri katika maamuzi yote na kutaka kura ya wazi. Aidha ccm pia wamekusudia leo hii kurudisha nyuma kwa kutengua kanuni ya upitishaji maamuzi ili iwe nusu ya wajunbe wa zanzibar na nusu ya watanganyika na kuifuta theluthi mbili iliyokubalika na kupitishwa.

Kamati aliyounda kificho ya maridhiano imeshindwa kukubaliana na hadi ninapotuma andiko hili bado kikao kinaendelea cha kamati ya maridhiano kujua cha kuganya kwani kikao huenda kikavunjika mapema leo.

Endeleeni kusubiri zaidi
Pamoja sana Mkuu. Je kwa upande wa vyama vingine, misimamo yao ipoje kwa sasaa. Au umehudhuria mkutano wa ccm tu?
 
CCM wana uhakika wa kupata nusu ya kura bara na nusu ya kura Zanzibar na ndio sababu ya dai lao hilo

Kwa kifupi,CCM wanataka wahodhi mchakato huu bara na visiwani kwa manufaa yao.
 
mkuu wamenikatisha tamaa maana nina hamu ya kuona kinachojiri mjengoni Leo siunajua tena !!
Pole sana mkuu. Wewe ni miongoni mwa Watanzania wengi wanaokosa uhondo. Hata hivyo naamini mambo yakiiva wataweka hewani. Nawaona wawakilishi wa TBC1 wapo hapa na kila kitu kipo sawa
 
We chabruma hakikisha katiba mpya haina zanzibar make yaya majamaa yalienda yakaandaa katiba 2010 bila kutushirikisha.

Hakikisha Tanganyika ina onekana kwenye sura ya Tanzania vinginevyo msirudi uraiani!
hapo umenigusa siupendi kabisa huu muungano wa tembo ina sisimiZi then sisimizi anataka chakula saw a na tembo Tanganyika kwanZa
 
Pole sana mkuu. Wewe ni miongoni mwa Watanzania wengi wanaokosa uhondo. Hata hivyo naamini mambo yakiiva wataweka hewani. Nawaona wawakilishi wa TBC1 wapo hapa na kila kitu kipo sawa

nitafurahi sana kama hii kitu nitaipata live si unajua tena show me then I will believe ! aka tomaso!!
 
Wadau, kikao cha Kamati ya Maridhiano kimemalizika na wajumbe wa kamati hiyo wanaingia ukumbini sasa. Nawaona akina Wassira, Cheyo, Lipumba na wengine wanaingia ukumbini
 
Kusema ukweli hii ni zaidi ya komedi!
Ningekuwa mshauri wa Rais saa hii navunjilia mbali Bunge hili linalojiita la Katiba. Week ya tatu sasa hawajazungumza yale tuliyowatuma! Wao kwao ni mzaha tuu. Hata wale 210 nao wamekuwa vioja!
1. Posho
2. Kura ziwe za siri ama wazi
3. Kanuni ziweje
4. Mwenyekiti (Wenyeviti mpaka sasa sijui 3!?)
5. Sasa tutaapa mmojammoja! Halafu wanawake wakiwa kwenye hedhi wasishike mshahafu na wanaume wawe na udhu!
6. Kamati ya maridhiano! Maridhiano ya nini sasa?
Mnakula pesa yetu buree tu!
JK vunja hili bunge! Tafuta watu serious wajadili hii katiba yetu sio hao vilaza walioko sasa huko bungeni?
Natoa wito wa bunge hili kuvunjwa! Kumbuka kauli yako ya tarehe 30/12/13 Mheshimiwa Rais!
 
Lango la Bunge linafungwa na mwenyekiti anaketi
 
Back
Top Bottom