VunjaMfupa
Senior Member
- Feb 7, 2014
- 122
- 78
StarTV live
Chabruma you are great.
wakuu tumefurahi Lakini kuna watu Leo lazima tulie na kutoa machozi!
Kwa sasa anaongea chairman, tbc1 wapo live!
kanuni ya 37 na 38 hazitajadiliwa, soooooooo sad kodi zetuuuuuuu
Tayari, kanuni ya 37 na 38 ni kiporo...ni za kuhusu KURA YA SIRI AU WAZI. kamati ya mashauriano inaenda tena kuzijadili hadi wakati mwingine.
Bunge hili linamaliza KODI ZA WANANCHI
Hivi kumbe Watu wawili wasipokubaliana kosa la mmoja tu?Daaaaaa huu sasa utoto. . . . . .ubishi wote wa nini, ccm bhana majanga kabisa
Hivi kumbe Watu wawili wasipokubaliana kosa la mmoja tu?
Upuuzi CCM ni WaTanzania au Warundi?Kuna ajenda ovu ccm inaficha ndani ya kura ya wazi! taifa zima tunafahamu hili wewe ukiwa mmojawapo
Mwenyekiti ameroa ufafanuzi kuwa vifungu vya 37 na 38 bado vinahitaji mashauriano zaidi. Kutokana na hali hiyo ametangaza kuwa wabunge watapitisha vifungu vya kuanzia vya 32 hadi vya 43 isipokuwa vya 37 na 38. Pia nyongeza ya vifungu vya kanuni itapitiwa