PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Hamad rashid anaongea may be for the first time! mambo ya kanuni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe ni......mi nilizani ni mjumbe...hii picha imepigwa kutoka juuView attachment 143537
Wabunge wanaendelea kuingia Bungeni. Bado sijamuona Mwenyekiti na watu wengine kama akina Mbowe, Mbatia, Lipumba nk
kanuni ya 37 na 38 hazitajadiliwa, soooooooo sad kodi zetuuuuuuu
Mkuu, ni kweli mimi si Mjumbe wa Bunge hili. Nipo hapa Bungeni kwa lengo moja tu la kuwahabarisha Watanzania juu ya yanayojiri bungeni. Hata hizo picha zote nilizopiga utaona kuwa nimepiga nikiwa upstairs ambako wageni na waandishi wa habari huketi. Sijawahi kusema kuwa mie ni Mbunge. Mbunge ni Simiyu Yetu ambaye pia tunashirikiana kikazi. Simfahamu ila kazi ndo inatuunganisha. Nadhani umenielewa mkuuKumbe wewe ni......mi nilizani ni mjumbe...hii picha imepigwa kutoka juu
kapiga hadi f.6 na dip kadhaa, sema daa jamaa anashindwaga kusoma political games......yupo rigid sana!
Yani ni kama vile wanaziogopa hivi! Juzi wali-stall, jana wakasema masjid, leo asubuhi wakasema wako kwenye kikao, sasa hv wanasema hawazijadili.! Sasa kama kanuni tu wanaogopa kuzijadili hivi tukianza kuijadili rasimu ya katiba yenyewe itakuwaje???
Mkuu, ni kweli mimi si Mjumbe wa Bunge hili. Nipo hapa Bungeni kwa lengo moja tu la kuwahabarisha Watanzania juu ya yanayojiri bungeni. Hata hizo picha zote nilizopiga utaona kuwa nimepiga nikiwa upstairs ambako wageni na waandishi wa habari huketi. Sijawahi kusema kuwa mie ni Mbunge. Mbunge ni Simiyu Yetu ambaye pia tunashirikiana kikazi. Simfahamu ila kazi ndo inatuunganisha. Nadhani umenielewa mkuu
Mkuu naomba nijivike usheikh Yahaya kama ifuatavyo na utakuja kuniambia siku moja yakitokea:
kwa mwenendo huu wa wajumbe kuchezea muda na kodi zetu kwa matusi na kejeli, iko siku wajumbe watatoana manundu bungeni wakati mijadala ikiendelea.
Mkuu, ni kweli mimi si Mjumbe wa Bunge hili. Nipo hapa Bungeni kwa lengo moja tu la kuwahabarisha Watanzania juu ya yanayojiri bungeni. Hata hizo picha zote nilizopiga utaona kuwa nimepiga nikiwa upstairs ambako wageni na waandishi wa habari huketi. Sijawahi kusema kuwa mie ni Mbunge. Mbunge ni Simiyu Yetu ambaye pia tunashirikiana kikazi. Simfahamu ila kazi ndo inatuunganisha. Nadhani umenielewa mkuu
Kanuni ya 32 imepita sasa kanuni ya 33 anaanza Mnyika
Na Mwanasheria Mkuu anakubali? Au ametafuta namna ya 'ku accommodate' mapendekezo hayo.Getstart sheria ya mabadiliko ya katiba iko wazi lakini ccm wanataka mambo yao yatimie hata ikiwa against the law
Ayayayayaaa kama simiyu yetu ni mbunge basi hilo jimbo limekula hasara, ni maoni yangu tu.
Simiyu yetu=Lusinde.. maoni yangu pia
Nakushukuru Mkuu kwa taarifa. Tuzidi kushirikiana ili watanzania wapate taarifa sahihi na kwa wakatiChabruma vyama vingine kupitia umoja wao unaoitwa UKAWA nao wamefanya mkutano.mchana huu na wameridhia kuwa vifungu vitano vya rasimu ya katiba kikiwemo cha muundo wa muungano vipigiwe kura ya siri na vifungu vilivyosalia vipigiwe kura ya wazi. Hii ni kutaka kila upande upate na kukubali kupoteza katika hili
Nini kinajili huko