Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Getstart kama tumewahi kuwa na mwanasheria mbovu asiyejua sheria basi ni kipindi hiki. Ni maoni yangu.

@Xhabruma nimekupata tuko pamoja
 
Last edited by a moderator:
Wabunge wanaendelea kupitisha vile vifungu vilivyosalia yaani kuanzia kifungu cha 32 hadi 43. Kwa sasa wapo kifungu cha 33

Isipokua kifungu cha 37 na 38 ili kuongeza siku za kukamua kodi zetu, yaani maumivu tupu.
 
Mkuu wako chako ni chako wanakula nyama. Wengie wako mnadani.
 
We're ----ed up, hiyo kura ya siri... why ..!
 
Ayaaa namwona yule 'mchumi daraja la 1' naye yumo na amesimama kuomba nafasi, Mungu wangu nusuru janga hili.
 
Kanuni ya 33 imepita sasa twende ya 34 nayo kuna Juma Duni Haji anawasilisha
 
Mapendekezo ya Juma Haji yamekubaliwa na kanuni imepita sasa kanuni ya 35 na Mnyika anazungumza
 
Wabunge wanaendelea kuchangia kanuni ya 35 na sasa ni zamu ya Pauline Gekul
 
Pauline amemaliza kuchangia kifungu hicho cha 35 na sasa ni zamu ya Juma Duni Haji
 
ummi mwalimu anachangia ila nina mashaka na uchangiaji wake
 
ummi mwalimu anataka kupata utaratibu mzuri wa fasili, ananukuu kanuni na fasili hapa
 
kwenye kanuni ya35 (7) ummi mwalimu anatoa mapendekezo yake , leo kama kajipanga vzr tofauti na siku zingine ila tatizo lake anarudiarudia maneno hivyo kupoteza muda, bado anaendelea....
 
Huyu ummi mwalimu anafujo utafikili ameambiwa asipo pambana itakula kwake
 
Back
Top Bottom