Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Sasa ni zamu ya Tundu Lissu kujibu hoja za wajumbe yuu ya kanuni ya 35
 
kwa uzoefu wa wajumbe , bunge limetulia kwa muda baada ya kifungu cha 37 na 38 kurukwa hadi siku nyingine, hapo ndipo utawatambua wenye jaziba, matusi, kelele, kejeli na aina za fujo zingine.

Nakubaliana na wewe!
 
Tundu Lissu anaanza kujibu hoja za wajumbe hapa
 
Teh teh teh teh! hio ndio ccm bhana, wapo very aggressive ukigusa maslahi yao!
Mkuu, hakika hapa tunajadili Katiba. Hivyo tofauti zetu za kisiasa tuzipelekejukwaa la siasa
 
Nakubaliana na wewe!

Tuwemo ila tuombe yasitokee hayo, na wakivuka salama hizo kanuni subiri mjadala mkali kwenye rasimu ya katiba sura ya 6 kwenye muundo wa muungano, weeeeee acha bwana huo mtifuano hata wewe ukiisoma rasimu unauona wazi au vipi mkuu?
 
Tundu Lissu anaanza kujibu hoja za wajumbe hapa
Kwa ujumla, Tundu Lissuameonesha uzalendo wa hali ya juu sana. Nawapongeza sana wajumbe wa Kanuni kwa mshikamano wanaoouonesha na kufanya kazi kwa pamoja na kwa ushirikiano bila ya kujali tofauti zao za kisiasa na kiitikadi
 
Tundu Lissu anamshukuru Chenge kupitia Ummy Mwalimu kwa ufafanuzi wao mzuri
 
Mkuu, hakika hapa tunajadili Katiba. Hivyo tofauti zetu za kisiasa tuzipelekejukwaa la siasa

Yeah nakubaliana na wewe, lakini ukweli ni kuwa kura za wazi ni hoja ya ccm, na hadi leo hivyo vifungu hivyo vimeshindikana kujadiliwa kwa sababu ya msimamo mkuu wa ccm! thats the fact! na nimekuwa very honest katika hili!
 
Ngoja nimsikilize vizuri akipangua hizi hoja, angepaswa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali!
Mkuu, Lissuanajibu vizuri hasa ikizingatiwa kuwa anawakilisha mawazo ya kamati
 
Ngoja nimsikilize vizuri akipangua hizi hoja, angepaswa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali!

Uko sahihi ila nadhani ni sahihi zaidi kama angekua Waziri Mkuu ili Taifa liongeze kasi ya ukuaji wa kiuchumi ukizingatia Waziri Mkuu ndiye msimamizi na mtendaji mkuu wa shughuli za serikali. Umepata picha ya ninachikimaanisha mkuu?
 
Yeah nakubaliana na wewe, lakini ukweli ni kuwa kura za wazi ni hoja ya ccm, na hadi leo hivyo vifungu hivyo vimeshindikana kujadiliwa kwa sababu ya msimamo mkuu wa ccm! thats the fact! na nimekuwa very honest katika hili!
Mkuu, wakati wake ukifika tutajiachia. Kanuni za 37 na 38 ambazo zinahusu upigaji kura hazitajadiliwa leo
 
Uko sahihi ila nadhani ni sahihi zaidi kama angekua Waziri Mkuu ili Taifa liongeze kasi ya ukuaji wa kiuchumi ukizingatia Waziri Mkuu ndiye msimamizi na mtendaji mkuu wa shughuli za serikali. Umepata picha ya ninachikimaanisha mkuu?

Nimekupata ni km kuwa overall incharge! sio ndio?
 
kanuni ya 35 imepita sasa tunaendelea na kanuni ya 36
 
Hivi bado kuna watu wana imani na hii kitu????!!!

Hata mimi imenipa shaka sana hii. Wanapoteza mda na kufuja pesa za watanzania. CCM akili zao ni sawa na kuku maana hawafikiri maisha ya baadaye,as if hiyo ni katiba ya lumumba. Non sense kabisa.
 
Back
Top Bottom