Yanayojiri EU na Unabii wa Sanamu ya Nebukadneza

Jamani ni mtizamo wangu.... uuuuuwwwwiiiii, simlazimishi mtu kuamini. Amini unachokiamini, usitokwe povu bureeee!!!!


#Period
 
tafuta habari wewe pekeyako ndio hujui!
Huu ndio upunguani wa hali ya juu kabisa...Umeandika post kimtuhumu papa ku-support ushoga...Mimi kukuuliza ni lini au wapi haimaanishi kuwa sifuatili....

Sasa wewe ningekuona wa maana zaidi kama ungenipa source au ni lini na wapi alionesha ku-support huo ushoga...
 
Hekaya za Ellen G White.....

Hivi kweli inamaana hujui sababu za UK kujitoa EU...Punguzeni kudanganyana kwenye lessoni..

Acha na wewe kudanganya watu unajifanya unajua kumbe la hasha, UK (united kingdom) nani alikuambia imejitoa EU? Unaifaham Uk wewe?
 
w
wewe utakuwa msabato wewe wasabato hakuna kitabu mnakipenda kaama Daniel na hiyo sanamu mmeishikia bango weee kwa tafsiri zenu potofu
 
ladha ya uzi, inakata na kupotea kwa spidi ya Cheater.
Jukwaa la intellijensia vitu vijadiliwe kiintelijensia.
wengine wameona ni kama sehemu ya kutoa madukuduku yao.
 
Acha na wewe kudanganya watu unajifanya unajua kumbe la hasha, UK (united kingdom) nani alikuambia imejitoa EU? Unaifaham Uk wewe?
Nenda tena kakae chini ujifunze maana ya UK halafu uje hapa.

Shwain wewe
 
Ww mleta mada kaongerea EGW au Daniel 2 kama huna cha kuchangia kwa nn usikae kimya khaaa!

Halafu unaweza kukuta mleta mada hata hamjui huyo elen G white wanayemtaja kuwa analeta mambo yake.
Watu bwana
 
Mambo ya unabii wa Daniel yalishatokea zamani za mfalme Nero... Wala hayatakuwepo tena.. tutafiti maandiko na historia ya dini kwa umakini mkubwa..
 
Namshukuru Mungu,mipango ya kishetani ya kufanya dunia iwe na serikali moja na sarafu moja chini ya shetani(new world order) inaenda kushindwa kama ilivyoanza na ifuatavyo
 
Ww mleta mada kaongerea EGW au Daniel 2 kama huna cha kuchangia kwa nn usikae kimya khaaa!

Yes, based on unabii wa EGW. Je wamfahamu huyu mama?
Kihistoria kaishia darasa la nne. Baadaye kaandika vitabu vingi sana kwa kutumia nguvu za ....
 
it's true sis watajaribu kuchanganyika lakini hataweza!
 
Mambo ya unabii wa Daniel yalishatokea zamani za mfalme Nero... Wala hayatakuwepo tena.. tutafiti maandiko na historia ya dini kwa umakini mkubwa..

Sasa mbona yesu hakurudi katika hiko kipindi cha Nero???
Unadanganywa yachunguze maandiko!
 
Issue ya UK kujitoa EU mbona wala haina uhusiano wowote na hizo hadithi unazooanisha??
UK waliweka sababu zao wazi kabisa
issue sio sababu bali walijaribu kuchangamana lakini wameshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…