Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Wakomae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye taarifa zaidi atujuze
Kwa Habari za Uhakika nilizopata toka kwa Mwana Usalama MMOJA aliyeko Shinyanga Mjini anasema Hali si Shwari..Mabomu.............Mabomu ...........Mabomu!
Msimamizi wa Uchaguzi Alimtangaza Mgombea wa CHADEMA kuwa Kashinda na Baada ya Muda tena Akatangaza Kuwa wa CCM ndiye kashinda.Hadi naingia hewani ilisemekana Top Management ya CHADEMA ilikuwa imehamia Shinyanga. Kwa kadri ninavyoendelea kusubiri taarifa zaidi yeyote mwenye update aturushie.
Nilijaribu kufuatilia mambo yaliyojiri huko shinyanga ambapo inasemekana kuwa Chadema wameshinda bali mheshimiwa akawaambia wabadili matokeo ndipo mgombea wa CCM alipotangazwa kiasi ambacho kimesababisha vurugu jengo la Manispaa nasikia limechomwa moto na nasikia JK Yupo shinyanga na SLAA NA MBOWE NAO WAMEENDA Tunaamini mambo yatakua mazuri wanatapa tapa
Werawera walichokipanda watakivuna
mmmh,jamani mbona jk namuona hapa kwenye tv yuko zeng?
Any way labda kafly fasta fasta,dr.slaa yuko daar na anategemea kutoa tamko leo!!!!
I dauti kama fact zako ni kweli kuhusu fujo