Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

Ccm ni genge la walanguzi wala si chama cha kuongoza nchi. Wapuuzi kweli
 
Jamani Jamani Jamania, wasikate tamaa waendelee mbele mpaka wapate kilicho chao japo kuna tetesi kuwa mgombea wa chadema aliopewa kitu kidogo jana ayakubali matokeo. Duh!!!
 
Jamani mchana kutwa shinyanga ni mabomu, mabomu, mabomu. Inasadikiwa msimamizi wa uchaguzi amekimbia akigomea amri ya kumtanganza mgombea wa ccm aliyeshindwa. Ofisi imetiwa moto baada ya matangazo ikiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi. Wanasemwa chadema eti ndio wameichoma. Aliyetangaza mshindi wa ccm hajulikani, na data kazitoa wapi? Viongozi wa juu chadema chonde chonde njooni na helikopta msaidie hali ni tete na wananchi wana huzuni mji mzima.
 
Hii sasa kiboko Mkurugenzi wa uchaguzi alishamtangaza mgombea wa chadema kuwa mshindi mara ghafla redio free africa ikatangaza matokeo tofauti! CCM are forgetting that they cannot rule without legitimacy!
 
Kwa Habari za Uhakika nilizopata toka kwa Mwana Usalama MMOJA aliyeko Shinyanga Mjini anasema Hali si Shwari..Mabomu.............Mabomu ...........Mabomu!
Msimamizi wa Uchaguzi Alimtangaza Mgombea wa CHADEMA kuwa Kashinda na Baada ya Muda tena Akatangaza Kuwa wa CCM ndiye kashinda.Hadi naingia hewani ilisemekana Top Management ya CHADEMA ilikuwa imehamia Shinyanga. Kwa kadri ninavyoendelea kusubiri taarifa zaidi yeyote mwenye update aturushie.
 
uongozi wa chadema wa bwn zitto na dk.slaa pamoja na wanasheria tayari wako shinyanga kushughurikia suala hilo..mwenye updates atujuze
 
Kwa Habari za Uhakika nilizopata toka kwa Mwana Usalama MMOJA aliyeko Shinyanga Mjini anasema Hali si Shwari..Mabomu.............Mabomu ...........Mabomu!
Msimamizi wa Uchaguzi Alimtangaza Mgombea wa CHADEMA kuwa Kashinda na Baada ya Muda tena Akatangaza Kuwa wa CCM ndiye kashinda.Hadi naingia hewani ilisemekana Top Management ya CHADEMA ilikuwa imehamia Shinyanga. Kwa kadri ninavyoendelea kusubiri taarifa zaidi yeyote mwenye update aturushie.

Why do they think they can get away with this kind of misconduct? Hii yote inaonyesha jinsi CCM inavyofanya kazi zake. Hopeful vitu kama hivi vinawekewa records just for future reference ili, wasije wakasema ni upinzani ndio umesababisha fujo ........:A S angry:
 
Nilijaribu kufuatilia mambo yaliyojiri huko shinyanga ambapo inasemekana kuwa Chadema wameshinda bali mheshimiwa akawaambia wabadili matokeo ndipo mgombea wa CCM alipotangazwa kiasi ambacho kimesababisha vurugu jengo la Manispaa nasikia limechomwa moto na nasikia JK Yupo shinyanga na SLAA NA MBOWE NAO WAMEENDA Tunaamini mambo yatakua mazuri wanatapa tapa

Werawera walichokipanda watakivuna
 
huku tunakoelekea tutasikia na ikuku imechomwa.watu wana hasira sana sijui kwa nini wanakuwa wagumu kutangaza aliyeshinda jamani.
 
Hizi fujo zote lazima lawama ziende kwa tume ya uchaguzi
 
JK alishaamua kuleta zile fujo alizosema. Alikuwa anasema kuwa wapinzani wanataka kumwaga damu kumbe alikuwa akimaanisha kinyume chake.
 
Nilijaribu kufuatilia mambo yaliyojiri huko shinyanga ambapo inasemekana kuwa Chadema wameshinda bali mheshimiwa akawaambia wabadili matokeo ndipo mgombea wa CCM alipotangazwa kiasi ambacho kimesababisha vurugu jengo la Manispaa nasikia limechomwa moto na nasikia JK Yupo shinyanga na SLAA NA MBOWE NAO WAMEENDA Tunaamini mambo yatakua mazuri wanatapa tapa

Werawera walichokipanda watakivuna

nilishasema bila kuvaa ujasiri na kukubali kufa hakuna haki nchi hii.
 
mmmh,jamani mbona jk namuona hapa kwenye tv yuko zeng?
Any way labda kafly fasta fasta,dr.slaa yuko daar na anategemea kutoa tamko leo!!!!

I dauti kama fact zako ni kweli kuhusu fujo
 
Ni KWELI SHINYANGA MJINI NI BALAA TUPU TOKA JANA....NA NI KWELI OFISI YA MKURUGENZI WA MANISPAA YA SHINYANGA IMECHOMWA MOTO ILA JARIBIO LA WANA HARAKATI KULICHOMA MOTO JENGO LA NSSF LILISHINDIKANA MANAKE KILICHOKUWA KINAFANYIKA NI KAMA NYAMAGANA KWAMBA KAMA HAMATANGAZI MATOKEO AMBAPO MGOMBEA WETU AMESHINDA BASI NA SISI TUNACHOMA MOTO VITU VYOTE MUHIMU KATIKA MANISPAA YA SHINYANGA....NA NI ASKARI POLISI WAKISHIRIKIANA NA JW WALIOZUIA JARIBIO LA KUULIPUA UWANJA WA KAMABARAGE ULIOPO MAENEO YA BARABARA YA OLD SHINYANGA KAMA UNAELEKEA RUBAGA.
mmmh,jamani mbona jk namuona hapa kwenye tv yuko zeng?
Any way labda kafly fasta fasta,dr.slaa yuko daar na anategemea kutoa tamko leo!!!!

I dauti kama fact zako ni kweli kuhusu fujo
 
Back
Top Bottom