Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Hahahahah watu humu wanajifanyaga malaika
Yaaanii limekuja mishipa ya shingo imemsimama utafikiri ye ndo hajawai kuzini kumbe mbwa mchafu me nna nafuu.......eti ananitishia kurogwa jinga kweli anampanikia mtu hamjui ....what if me nimesema kufurahisha genge na story ziendelee ye linakuja kupanic
 
You can take a man out of uswahilini but you can't take uswahilini out of a man.
 
Wakati Dada anatoa povu la uchagu kaka anashuka mpaka uvinza kigomaaa mwisho wa reliiiiiiiiiiii, interesting.......
 
wanawake mna iq ndogo sana ndio maana waganga na wachungaj feki wanapata sana wateja jinsia ke..

hujiulizi why hizi drama zije huku nyimbo ipo youtube day 1? wewe unaweza gombana na mumeo halafu ukamsaidie kushoot video yake??? wanawake mngekuwa na akili za kufikiri zaidi... tungeendelea sana sabab nyingi ndio mama zetu ila hamfikiriii... na hamjui unganisha dots

hii ni biashara. hamisa anaplay role yake kama anachoelezwa cha kufanya.. esma pia.. mama diamond pia.. zari pia... na kila mtu...

hela inatafutwa kwa akili...

hakuna mtu mpuuzi hapo.. sio diamond, sio wema, sio hamisa, sio zari, sio esma.. wote wanajua wanachofanya na kuna mwanaume mastermind juu yao... anaetengeneza scripts...
Binafsi sijaona sababu ya kumwambia mwenzio ana IQ ndogo......yani kuunganisha hizo unazo ziita dots ndio ni sifa ya kuwa na iq kubwa? Hapo mpuuzi yupo na hiyo video imeshutiwa kabla hata ya zari na Diamond kuvunja mahusiano.....
 
Harafu eti kuna mtu anajaribu kumlinganisha Kiba na Vitu vya kijinga!
 
Harafu eti kuna mtu anajaribu kumlinganisha Kiba na Vitu vya kijinga!
Mvumo wa radio imefika wapi?

1. Clouds sasa waniapiga Mara moja kwa siku, siku nyingine wanaikaushia

2. Bodaboda na ma dj wa baa za mtaani wameikaushia...

3. Insta ndo kabisaa, yeye mwenyewe kaacha kuipost... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

4. Kuna ile trend nyimbo ikitoka, wananzengo hujirecord wakiicheza au kuimba na kupost Insta kuonyesha support na vile wameikubali, kwa mvumo wa radi hio kitu imebuma...

5. TV stations nazo naona kama wameichunia mvumo wa radi..

6. YouTube mpaka sasa mvumo wa radio INA views million mbili na ushee ndani ya week sijui tatu.. Sijui NNE.. Yani imekosa mvuto.....

Kifupi, mvumo wa radi imekutana na ways wa earth Insta, YouTube, mtaani na kwenye media..
 
Ishu ni wivu wa watanzania tu nothing more

Wengi wetu tunamchukia hamisa kisa kazaa na diamond amini maneno yangu

Angezaa na mtaifa mwingine tungeshangilia balaa

Kiba kaoa Kenya watu kimyaa,Ay Uganda kimyaaa wangeoa wabongo hawaa wangejuta

Hata Zari sio kua wanampendaaa...hapana watz tuna husda mnoo!!
Hivi alichokifanya Hamisa Ni kizuri? Hakuna asiyejua kwamba Dai alikuwa na mtu yeye akaingilia kati, angempa nafasi Dai na familia yake wajue njia gani watumie kumpa taarifa Zari yeye kaanza vituko Mara kaacha herini na nk. Nini Sasa hiyo? Kajifungua familia imepanga mazuri tu wakamwone kwa Siri yeye anawaita shilawadu huoni huo ni uchonganishi na uswahili? Bado Dai na familia yake wamechukia badala wamalize taratibu anakimbilia mahakamani anadai matunzo ya mtoto, kwani alikuwa hapewi matunzo? Hivi huyu kunguru ni wa kuweka ndani? Huyu bint si bure kipo alichokifanya kwa Dai mbona hivyo vitimbwi hamfanyii aliyezaa naye mwanzo? Huyu akiolewa na Dai tu hakai atafanya vituko aachike akimbilie mahakamani wagawane Mali ndicho anachokitaka, mapenzi kwa Dai hana kabisa, ati watu wanamuona wivu kazaa na matajiri kweli [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Shida kanapenda kuonekanaaa ndo maana anakosa vyote......Leo hii Mimi ni sidechick wa mkubw mmoja wilayan kwetu ...ananilipia ada ya chuo na kila kitu kinachohusu maisha yangu lkn hata siku moja sijawahi kujitia kimbelembele cha kumjua hata huyo bi mkubwaaa....tunatakiwa kujua kula na vipofu
Umeshawahi kusoma kisa cha "mfalme mwenye maskio marefu"? ndo hii sasa umetafuta pa kutolea siri ukaona jf ndo pazuri huna kifua...tegemea kuaibika sasa siku si nyingi...
 
Hivi alichokifanya Hamisa Ni kizuri? Hakuna asiyejua kwamba Dai alikuwa na mtu yeye akaingilia kati, angempa nafasi Dai na familia yake wajue njia gani watumie kumpa taarifa Zari yeye kaanza vituko Mara kaacha herini na nk. Nini Sasa hiyo? Kajifungua familia imepanga mazuri tu wakamwone kwa Siri yeye anawaita shilawadu huoni huo ni uchonganishi na uswahili? Bado Dai na familia yake wamechukia badala wamalize taratibu anakimbilia mahakamani anadai matunzo ya mtoto, kwani alikuwa hapewi matunzo? Hivi huyu kunguru ni wa kuweka ndani? Huyu bint si bure kipo alichokifanya kwa Dai mbona hivyo vitimbwi hamfanyii aliyezaa naye mwanzo? Huyu akiolewa na Dai tu hakai atafanya vituko aachike akimbilie mahakamani wagawane Mali ndicho anachokitaka, mapenzi kwa Dai hana kabisa, ati watu wanamuona wivu kazaa na matajiri kweli [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Angezaa na mengi sijui ingekuwaje sasa???
 
Angezaa na mengi sijui ingekuwaje sasa???
Angejipa ukurugenzi wa TV ili kila siku wamuone katika Luninga na Mtoto wake ili mumtathmini hata kwa huyu dogo subiri uone [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Na haya ndio madhara ya kulelewa na Single mother. Mtoto wa kiume aliyelelewa na mama akikua atafanya anachopenda mama. Mwisho wa siku mwanamke atakayekuja kuolewa na Chibu ajiandae kupendwa na Bi Sandra na si Diamond.

Wanawake wengi hatuoni hii effect ya kulea watoto wa kiume pekee yetu kwa sababu tu tumefarakana na mzazi mwenza tumekuwa wepesi sana kuwatenga watoto na baba zao lakini matokeo ndio kama hayo.
 
Back
Top Bottom