Jasiri haachi asili...Yani wametoka Tandale ila hawabadiliki
Hahahahah watu humu wanajifanyaga malaikaUmezini Mara ngapi??uliona aibu???? Tulia kama moja msiiiiiieeeeewwww[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Yaaanii limekuja mishipa ya shingo imemsimama utafikiri ye ndo hajawai kuzini kumbe mbwa mchafu me nna nafuu.......eti ananitishia kurogwa jinga kweli anampanikia mtu hamjui ....what if me nimesema kufurahisha genge na story ziendelee ye linakuja kupanicHahahahah watu humu wanajifanyaga malaika
Unafikiri wewe kuumbwa mwanaume ndio kunakupa haki ya kuwaita wanawake wana IQ ndogo? Ndio definition yako ya Kujitambua?sikujibu chochote zaid ya hichi nachokuambia.. sipendagi ligi na mama zangu sabab najitambua
TafsidaWakati Dada anatoa povu la uchagu kaka anashuka mpaka uvinza kigomaaa mwisho wa reliiiiiiiiiiii, interesting.......
Binafsi sijaona sababu ya kumwambia mwenzio ana IQ ndogo......yani kuunganisha hizo unazo ziita dots ndio ni sifa ya kuwa na iq kubwa? Hapo mpuuzi yupo na hiyo video imeshutiwa kabla hata ya zari na Diamond kuvunja mahusiano.....wanawake mna iq ndogo sana ndio maana waganga na wachungaj feki wanapata sana wateja jinsia ke..
hujiulizi why hizi drama zije huku nyimbo ipo youtube day 1? wewe unaweza gombana na mumeo halafu ukamsaidie kushoot video yake??? wanawake mngekuwa na akili za kufikiri zaidi... tungeendelea sana sabab nyingi ndio mama zetu ila hamfikiriii... na hamjui unganisha dots
hii ni biashara. hamisa anaplay role yake kama anachoelezwa cha kufanya.. esma pia.. mama diamond pia.. zari pia... na kila mtu...
hela inatafutwa kwa akili...
hakuna mtu mpuuzi hapo.. sio diamond, sio wema, sio hamisa, sio zari, sio esma.. wote wanajua wanachofanya na kuna mwanaume mastermind juu yao... anaetengeneza scripts...
Mvumo wa radio imefika wapi?Harafu eti kuna mtu anajaribu kumlinganisha Kiba na Vitu vya kijinga!
Anataka watu wote wawe na mtazamo kama wake. Hiyo ndio IQ kubwa kwake.Harafu eti kuna mtu anajaribu kumlinganisha Kiba na Vitu vya kijinga!
Hivi alichokifanya Hamisa Ni kizuri? Hakuna asiyejua kwamba Dai alikuwa na mtu yeye akaingilia kati, angempa nafasi Dai na familia yake wajue njia gani watumie kumpa taarifa Zari yeye kaanza vituko Mara kaacha herini na nk. Nini Sasa hiyo? Kajifungua familia imepanga mazuri tu wakamwone kwa Siri yeye anawaita shilawadu huoni huo ni uchonganishi na uswahili? Bado Dai na familia yake wamechukia badala wamalize taratibu anakimbilia mahakamani anadai matunzo ya mtoto, kwani alikuwa hapewi matunzo? Hivi huyu kunguru ni wa kuweka ndani? Huyu bint si bure kipo alichokifanya kwa Dai mbona hivyo vitimbwi hamfanyii aliyezaa naye mwanzo? Huyu akiolewa na Dai tu hakai atafanya vituko aachike akimbilie mahakamani wagawane Mali ndicho anachokitaka, mapenzi kwa Dai hana kabisa, ati watu wanamuona wivu kazaa na matajiri kweli [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ishu ni wivu wa watanzania tu nothing more
Wengi wetu tunamchukia hamisa kisa kazaa na diamond amini maneno yangu
Angezaa na mtaifa mwingine tungeshangilia balaa
Kiba kaoa Kenya watu kimyaa,Ay Uganda kimyaaa wangeoa wabongo hawaa wangejuta
Hata Zari sio kua wanampendaaa...hapana watz tuna husda mnoo!!
Umeshawahi kusoma kisa cha "mfalme mwenye maskio marefu"? ndo hii sasa umetafuta pa kutolea siri ukaona jf ndo pazuri huna kifua...tegemea kuaibika sasa siku si nyingi...Shida kanapenda kuonekanaaa ndo maana anakosa vyote......Leo hii Mimi ni sidechick wa mkubw mmoja wilayan kwetu ...ananilipia ada ya chuo na kila kitu kinachohusu maisha yangu lkn hata siku moja sijawahi kujitia kimbelembele cha kumjua hata huyo bi mkubwaaa....tunatakiwa kujua kula na vipofu
Sasa IQ yako kubwa inakusiadia nini iwapo hufahamu hata umuhimu wa matumizi ya herufi kubwa na ndogo kwenye sentensi.
ππππSasa IQ yako kubwa inakusiadia nini iwapo hufahamu hata umuhimu wa matumizi ya herufi kubwa na ndogo kwenye sentensi.
hii comment imenichekesha sana,dawa ya chizi ni kujifanya chizi zaidi yake lazma awe mpole tuππSasa IQ yako kubwa inakusiadia nini iwapo hufahamu hata umuhimu wa matumizi ya herufi kubwa na ndogo kwenye sentensi.
Angezaa na mengi sijui ingekuwaje sasa???Hivi alichokifanya Hamisa Ni kizuri? Hakuna asiyejua kwamba Dai alikuwa na mtu yeye akaingilia kati, angempa nafasi Dai na familia yake wajue njia gani watumie kumpa taarifa Zari yeye kaanza vituko Mara kaacha herini na nk. Nini Sasa hiyo? Kajifungua familia imepanga mazuri tu wakamwone kwa Siri yeye anawaita shilawadu huoni huo ni uchonganishi na uswahili? Bado Dai na familia yake wamechukia badala wamalize taratibu anakimbilia mahakamani anadai matunzo ya mtoto, kwani alikuwa hapewi matunzo? Hivi huyu kunguru ni wa kuweka ndani? Huyu bint si bure kipo alichokifanya kwa Dai mbona hivyo vitimbwi hamfanyii aliyezaa naye mwanzo? Huyu akiolewa na Dai tu hakai atafanya vituko aachike akimbilie mahakamani wagawane Mali ndicho anachokitaka, mapenzi kwa Dai hana kabisa, ati watu wanamuona wivu kazaa na matajiri kweli [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Angejipa ukurugenzi wa TV ili kila siku wamuone katika Luninga na Mtoto wake ili mumtathmini hata kwa huyu dogo subiri uone [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Angezaa na mengi sijui ingekuwaje sasa???