Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Tangu wazaramo wameanza kuijua internet basi tabu tupu.
 
wanamsema dada wa watu sio msafi hajui kupika usikute na waowao hakuna hata kimoja walichomzidi ni vile tu waume zao hawana muda wa kutoa yanayoendelea chumbani
Ishu ni wivu wa watanzania tu nothing more

Wengi wetu tunamchukia hamisa kisa kazaa na diamond amini maneno yangu

Angezaa na mtaifa mwingine tungeshangilia balaa

Kiba kaoa Kenya watu kimyaa,Ay Uganda kimyaaa wangeoa wabongo hawaa wangejuta

Hata Zari sio kua wanampendaaa...hapana watz tuna husda mnoo!!
 
ila hamisa kaua mabaya maana matusi aliyomtukana wifi na mkwewe sio ya nchi hii na ndoa hakuna hapo
eti alitaka awafulie chupi zao hahahahahah
Si a aka a tu kuwa amekua hacked!?
 
natamani petit na shamte wazungumze side b za wanawake zao mbona huku mtandaoni hakutalalika
 
Romy nae kaamua kusema neno

 
Mimi na hata Diamond hawezi oa mwanamke ambaye anajua nani kapita na bado yupo hai.
 
Tangu wazaramo wameanza kuijua internet basi tabu tupu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tutake radhi
 
natamani petit na shamte wazungumze side b za wanawake zao mbona huku mtandaoni hakutalalika
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hawana meno wale wanalelewa tu!

Wale wanaume suruali wako kimaslahi
 
dyu aisee yajayo wanafurahisha
 
Ndoa nyingi huharibiwa na wazazi, mawifi

Mwanamke anaweza kosea ila hao wahusika hapo watalibeba hilo kosa milele.
 
Hakuna wife material hata mmoja hapo.

Ningekuwa mimi ndio domondi ningepiga chini wote na kwenda kuoa msichana ambaye kila mtu asingeamini.

Halafu it's time now domondi akuwe na abadiliki. Haingii akilini hata kidogo mtoto wa kiume ukawaruhusu mama na dada zako wakaingilia mambo yako ya chumbani, unless your mama's boy .
 
Ndoa nyingi huharibiwa na wazazi, mawifi

Mwanamke anaweza kosea ila hao wahusika hapo watalibeba hilo kosa milele.
Sanaa!yaani familia hizi na ukiwa na wifi na mkwe mswahili [emoji2] [emoji2] utaomba poo
 
Hamisa angetulia kuwa sidechick yote yasingemkuta. Angejilia kimya tu Domo wake Sema anapenda kiki wacha yamkutee.
Tatizo walimtia kiburi hao kina ESMA Leo wanamkengeuka mchana kweupee!

Yaani ile familia hakuna mwanamke wa kuiweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…