Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Hamisa angetulia kuwa sidechick yote yasingemkuta. Angejilia kimya tu Domo wake Sema anapenda kiki wacha yamkutee.
Tatizo walimtia kiburi hao kina ESMA Leo wanamkengeuka mchana kweupee!

Yaani ile familia hakuna mwanamke wa kuiweza
 
Kwangu mimi hizi zote ni KIKI......Sijawahi kuaminj story yoyote inayotoka kwenye hii family......Wote ni waongo waongo kama wadogo zake shweitaaaniii
 
Yani wametoka Tandale ila hawabadiliki
Mkwe elimu elimu elimu

Wamelack exposure...au umesahau [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!

Najua wajua wa aina hiyo anakuwaje
 
Mkwe elimu elimu elimu

Wamelack exposure...au umesahau [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!

Najua wajua wa aina hiyo anakuwaje
Nawaelewa ila wao wameshatoka kwenye hilo kundi kwanini bado wanashikilia uswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…