Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
- Thread starter
- #81
Tatizo walimtia kiburi hao kina ESMA Leo wanamkengeuka mchana kweupee!Hamisa angetulia kuwa sidechick yote yasingemkuta. Angejilia kimya tu Domo wake Sema anapenda kiki wacha yamkutee.
Yaani ile familia hakuna mwanamke wa kuiweza