We umeolewa familia ipi mkuuWanawake wa kibongo wanavyopenda fursa wako tayari kuolewa katika hii familia.kiukweli ukiolewa hapo utakuwa mtumwa wa fikra na utafanya mambo against your will kufurahisha wengine
Safi sana akikuona maskini mwambie akutumie ela ya iPhone ...wajinga hawa utakosoaje uwezo wa mtuNikusaidie sio K.7
Tecno WX3
Shida kanapenda kuonekanaaa ndo maana anakosa vyote......Leo hii Mimi ni sidechick wa mkubw mmoja wilayan kwetu ...ananilipia ada ya chuo na kila kitu kinachohusu maisha yangu lkn hata siku moja sijawahi kujitia kimbelembele cha kumjua hata huyo bi mkubwaaa....tunatakiwa kujua kula na vipofuHamisa angetulia kuwa sidechick yote yasingemkuta. Angejilia kimya tu Domo wake Sema anapenda kiki wacha yamkutee.
Nipo best angu mambo yamebanana tuu nachungulia chungulia ila soon ntarudi mazimaaUmepotelea wapi jamani
Peleka FB tu,huwa sisomi shit kama hizi Ila nikiziona tu humu huwa nawaambia ukweli.Jf sio ya mambo haya ya kijinga.Hata hivo Una bahati sn Uzi wako haujafutwa.Ingekua Facebook ungekomenti wapi?
Sawa kaka barikiwa sana!Peleka FB tu,huwa sisomi shit kama hizi Ila nikiziona tu humu huwa nawaambia ukweli.Jf sio ya mambo haya ya kijinga.Hata hivo Una bahati sn Uzi wako haujafutwa.
Wananitibua Mimi mbuzi hao .....ukiwaona na hivyo visimu wanavyoringia sisi watecno hatujamboNi kuwasamehe bure na kutumia tecno sio umaskini wanashindwa tu kuelewa!
Kuwasamehe bure
Bi sandra tenaa ndo atapigia msumari wa moto. Ila mi nampenda pia Hamisa jamani[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] namsubiria bi Sandra nae aje na lipi..maana kaka ashasema!
Ya kibaWe umeolewa familia ipi mkuu
Amen,usijisikie vibaya Ila ni changamoto tu nimekupa.Alikuwepo bingwa wa taarifa kama hizi humu alijiita warumi,alipotea.Nakupenda pia wala sikuchukii.Barikiwa nawe.Sawa kaka barikiwa sana!
Bonyeza kitufe uuripoti!
Utafutwa mda si mrefu