Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Yanayojiri Instagram baada ya kutoka iyena [emoji39]

Peleka FB,hakika jf imeingiliwa.Na ndoa Jana tu Melo na Mushi wameshinda kesi duu
 
Hakika Diamond ni kiboko.....kama hutaki muziki wake basi utamuona kwenye mahusiano yake....hakika wasio mpenda sijui wana jisikia vipi?
 
Wanawake wa kibongo wanavyopenda fursa wako tayari kuolewa katika hii familia.kiukweli ukiolewa hapo utakuwa mtumwa wa fikra na utafanya mambo against your will kufurahisha wengine
We umeolewa familia ipi mkuu
 
Hamisa angetulia kuwa sidechick yote yasingemkuta. Angejilia kimya tu Domo wake Sema anapenda kiki wacha yamkutee.
Shida kanapenda kuonekanaaa ndo maana anakosa vyote......Leo hii Mimi ni sidechick wa mkubw mmoja wilayan kwetu ...ananilipia ada ya chuo na kila kitu kinachohusu maisha yangu lkn hata siku moja sijawahi kujitia kimbelembele cha kumjua hata huyo bi mkubwaaa....tunatakiwa kujua kula na vipofu
 
Ingekua Facebook ungekomenti wapi?
Peleka FB tu,huwa sisomi shit kama hizi Ila nikiziona tu humu huwa nawaambia ukweli.Jf sio ya mambo haya ya kijinga.Hata hivo Una bahati sn Uzi wako haujafutwa.
 
Peleka FB tu,huwa sisomi shit kama hizi Ila nikiziona tu humu huwa nawaambia ukweli.Jf sio ya mambo haya ya kijinga.Hata hivo Una bahati sn Uzi wako haujafutwa.
Sawa kaka barikiwa sana!
Bonyeza kitufe uuripoti!

Utafutwa mda si mrefu
 
Bi sandra tenaa ndo atapigia msumari wa moto. Ila mi nampenda pia Hamisa jamani
Bi Sandra tena anatapika tu!hamisa atajuta masikini!

Hamisa nakapenda nikiangalia background yake kama lulu tu!
 
Sawa kaka barikiwa sana!
Bonyeza kitufe uuripoti!

Utafutwa mda si mrefu
Amen,usijisikie vibaya Ila ni changamoto tu nimekupa.Alikuwepo bingwa wa taarifa kama hizi humu alijiita warumi,alipotea.Nakupenda pia wala sikuchukii.Barikiwa nawe.
Umewahi soma article ya mgawanyo wa Aina 3 za watu na akili zao?
 
Hamisa anza kuoga na uache kujikojolea kitandani, umeshakuwa sasa. Unapojikojolea kitandani uwe mwepesi kujisafisha na kufua nguo zako, na usipende kuvaa nguo za watu huku unanuka mkojo kwani watu hao hao ndiyo wanaosambaza habari zako hapa mjini. Siyo fresh kabisa, mtu mzima unanuka mkojo kisha kujisitiri na manukato ya kichina yanayo ongeza harufu mfu mwilini. Mwanamke salo, jipende utaheshimika. Sasa twajuwa kwanini Majizo alikupiga dochi.
 
Back
Top Bottom