Wala siwezi jisikia vbayaAmen,usijisikie vibaya Ila ni changamoto tu nimekupa.Alikuwepo bingwa wa taarifa kama hizi humu alijiita warumi,alipotea.Nakupenda pia wala sikuchukii.Barikiwa nawe.
Umewahi soma article ya mgawanyo wa Aina 3 za watu na akili zao?
Diamond hajao bwanaa!Shida kanapenda kuonekanaaa ndo maana anakosa vyote......Leo hii Mimi ni sidechick wa mkubw mmoja wilayan kwetu ...ananilipia ada ya chuo na kila kitu kinachohusu maisha yangu lkn hata siku moja sijawahi kujitia kimbelembele cha kumjua hata huyo bi mkubwaaa....tunatakiwa kujua kula na vipofu
[emoji848][emoji848]Shida kanapenda kuonekanaaa ndo maana anakosa vyote......Leo hii Mimi ni sidechick wa mkubw mmoja wilayan kwetu ...ananilipia ada ya chuo na kila kitu kinachohusu maisha yangu lkn hata siku moja sijawahi kujitia kimbelembele cha kumjua hata huyo bi mkubwaaa....tunatakiwa kujua kula na vipofu
Hanioni bhana ....me wala simsumbui bi mkubwa hata jina lake silijui na sitaki kulijua tuuu na wala huyo Mr sijawahi kumuuliza chochote kuhusu bi mkubwa .....me nnachosubir mwisho wa mwez nione text ya nmb mobile kwamba nimepokea sh ngapi basi ....hayo mengine wamalizane wenyeweDiamond hajao bwanaa!
Halafu Mungu anakuoan Zer
Ukibeba cha MTU usijione bingwaaa ohoooo utaota mshipa shida gani[emoji848][emoji848]
Duuh ww ndo Bingwa wa kula na vipofu Rasmi maana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani Jamani looh!Hanioni bhana ....me wala simsumbui bi mkubwa hata jina lake silijui na sitaki kulijua tuuu na wala huyo Mr sijawahi kumuuliza chochote kuhusu bi mkubwa .....me nnachosubir mwisho wa mwez nione text ya nmb mobile kwamba nimepokea sh ngapi basi ....hayo mengine wamalizane wenyewe
Hii kozi ulijifunzia wapi Mkuu? Inaonekana ni mwenye uzoefu wa kutosha ...Ukibeba cha MTU usijione bingwaaa ohoooo utaota mshipa shida gani
Haya enjoy Sana.Wala siwezi jisikia vbaya
My life my rules!
Warumi ni warumi na Mimi ni Mimi...
Nimewahi kusoma ndio
Life is too short to complicate! Sometimes we need to release our stress through this!
Unatakiwa kua na akili ya kujiongeza ...ukianza fyokofyoko utakosa vyote mwanaume mwenyew lazima akasirike ....unakua tu mpole kwani kua mpole sh ngapiHii kozi ulijifunzia wapi Mkuu? Inaonekana ni mwenye uzoefu wa kutosha ...
Tatizo la wanawake tunapenda kuonekanaaa ......huo ndo mwanzo wa kula mashauzi yako[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]ahsante mwl...
Yeah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unapaswa kula tartiibu!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Mdogo mdogo
Hili nalo neno... Ila utakuwa side chick hadi lini Mkuu?Unatakiwa kua na akili ya kujiongeza ...ukianza fyokofyoko utakosa vyote mwanaume mwenyew lazima akasirike ....unakua tu mpole kwani kua mpole sh ngapi
Aaaah process znaendelea ntakua bi mdogo rasmi mungu akijaalia inshaallahHili nalo neno... Ila utakuwa side chick hadi lini Mkuu?
Kwa kweli!!!Hii familia kiboko kila siku vituko na huyo mke atakaeolewa ajipange..
Wamechoka kufanya unafki mwezi mmoja, hahaaa,,mana wafungaji wengi wanakuaga wastaarab mwezi mmoja tuSana tu yaani ile familia ni kiboko [emoji2] [emoji2] [emoji2] diamond hatokaa aoe akisikiliza ndugu zake!
Atapata watoto wa nje tu!
Halafu walichonichosha ni mwezi wa ramadhani wanapretend kufunga jamani
Mwezi mtukufu huu tena ni waislamu hata kama kick imezidi...!!
Ila ile familia sio ya kuolewa hata ndotoni!