Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

Hii ndiyo ile tafsiri hali ya “Stay Home’’ kupunguza maambukizi ya virusi vya Corona


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Raha ya stayhome uwe umeoa juzi juzi au mke awe ameenda kusalimia kwao Katavi halafu daraja limechukuliwa na maji ilhali wewe uko zako Tabata Mawenzi kwa mchepuko wa kinyamwezi.
Kwa niaba ya mabaharia wa hapa katavi tunatanguliza shukrani
 
Watu wa mabondeni huko Mburahati, Kigogo, Mwananyamala, Buguruni na Sinza tupeni mrejesho wa mvua ya leo.
Sinza bar zimefunguliwa?
Watu wa mbagala wanacheka tu. Pamoja na slums zao bado mafuriko hayajawatandika. Ila pale mkwajuni ni nani anayeweka kifusi maana anayabana maji kujitanua. Poleni sana watu wa Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo yupo sahihi?/maana vi mvua kidogo tu vikinyesha jiji zima mwakosa amani na raha. Mnaanz lia lia
Kuna kinyerezi, makongo, wazo, Goba, Gongo la Mboto Masaki, Oyster bay, Mbagala, buza, kimara, kigamboni, Upanga, kibamba kote kupo safi

ila maeneo ya. Mbezi beach, Mbweni, sinza, buguruni, kinondoni, mwananyamala, Msasani, Ulongoni, kigogo na mburahati huko hali ni tete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kawaida jangwani maji yanapita juu ya daraja na barabara imejifunga.

Bonde la Kinondoni mkwajuni napo maji yanapita juu ya daraja, barabara imejifunga.

Bado sina picha kwa sasa.
Tuambie kinachoendelea kwenye upeo wa macho yako.
Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati,vipi lile daraja la makonda la mita 300 kwenda juu halijaisha?
 
Habari bila picha hainogi au nanyie huko mmepigwa mkwara kutupia picha kama Arusha kuogopa kufunguliwa kesi ya uhujumu jiji la kitalii?
 
Mungu ameona hiyo ndiyo dawa ya kuwakingeni na Corona maana hamsikii!
Kama Makonda bado ni mkuu wa mkoa wa Dar atamuomba kesho pesa rais ili barabara ya morogoro hapo jangwani na barabara kawawa pale mkwajuni iinulie maana hao wabunge wa Chadema wa ilala na Kinondoni wao wamekalia vurugu tu.kama alipewa pesa ya hospitali ya ubungo mbona hapo ni chamtoto kwa makonda
 
Back
Top Bottom