Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

Raha ya stayhome uwe umeoa juzi juzi au mke awe ameenda kusalimia kwao Katavi halafu daraja limechukuliwa na maji ilhali wewe uko zako Tabata Mawenzi kwa mchepuko wa kinyamwezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mmekaa mita ngapi ngapi sema nimependa hiyo bar kabla hujaingia kuna sabuni nzito ya maji ambayo haijachakachuliwa maji moto murua kbs pia kuna sanitizer mujarabu sijajua kwa leo.Leo nipo na mama Koku nyumbani ng'adu kwa ng'adu tunaangaliana kama maksai hapa.
BL bar Kinyerezi watu wanakunywa bia balaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kinyerezi, makongo,wazo,Goba,Gongo la Mboto Masaki, Oyster bay, Mbagala, buza,kimara,kigamboni,Upanga, kibamba kote kupo safi ila maeneo ya. Mbezi beach,Mbweni, sinza, buguruni, kinondoni, mwananyamala, Msasani, Ulongoni, kigogo na mburahati huko hati ni tete

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ausee kinara hali shwali kbsa npo zangu perfect pub hpa nakamua biere kwa kwenda mbele wake sinza kwa wajanja hali zao ni tete kweli kweli size wamepanga matofali wanaruka viunzi tu
 
Haya ndiyo matatizo yetu waafrica ya uzawa....Nafuriko, Madaraja kubomoka kusomba watu...Malaria, Kipindupindu....UTI nk

Haya magonjwa mapya ya kisasa ni kweli yapo ila hayatuhusu sisi..yana wenyewe!!
 
Kama kawaida jangwani maji yanapita juu ya daraja na barabara imejifunga.

Bonde la Kinondoni mkwajuni napo maji yanapita juu ya daraja, barabara imejifunga.

Bado sina picha kwa sasa.
Tuambie kinachoendelea kwenye upeo wa macho yako.
Hapo HQ kwenu kuna usalama? Kwa nyuma kuna bonde, au ndio unaposema?
 
Back
Top Bottom