Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,817
[emoji102][emoji102][emoji22][emoji22]Safi kabisa tuwaombee sana... Na tusisahau pia leo ni siku ya ushindi wa kihistoria wa mnyama...
Jr[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji102][emoji102][emoji22][emoji22]Safi kabisa tuwaombee sana... Na tusisahau pia leo ni siku ya ushindi wa kihistoria wa mnyama...
Jr[emoji769]
Nimesoma sehemu zote za bandiko, sikupata pendekezo mbadala, kati ya vyama vya upinzani "kushiriki au kutoshiriki" uchaguzi 2020.Nina washangaa sana akina Mbatia na Maalimu Seif aliyesema ''kususa ni kumwachia nguruwe shamba la mihogo''
Kufanya jambo lile lile kwa namna zile zile na kutopata matokeo tofauti inaitwa ''insanity'
Duh... Bandiko hili limemuibua Mkuu Fundi Mchundo, a.k.a Fundi Utumbo, Mzee wa Amandla!. Karibu, long time Mzee, usikute soon kina Kuhani, Mzee Mwanakijiji, Mchambuzi etc nao wakarejea JF!, we miss you guys!.Naomba ufafanuzi wa serious na credible opposition. Niandikie kwa kifupi tu, sio ku copy na kupaste mabandiko yako ya zamani.
Amandla.....
Pasco BwanaDuh... Bandiko hili limemuibua Mkuu Fundi Mchundo, a.k.a Fundi Utumbo, Mzee wa Amandla!. Karibu, long time Mzee, usikute soon kina Kuhani, Mzee Mwanakijiji, Mchambuzi etc nao wakarejea JF!, we miss you guys!.
Sisi wengine kazi zetu ni uelimishaji umma, hivyo kuongea kwa kifupi hatuwezi, na hatuwezi kujenga hoja bila mifano, hii heading inatosha kukueleza kwa kifupi, wala huna haja ya kuifungua, nimekuwekea kabisa, the subject matter.
Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
hivi sasa Isn't it a Nuisance?. Kama Upinzani Wenyewe wa Tanzania Ndio Upinzani Huu Ambao Umeishiwa Kabisa Hoja za Msingi!, Jee Tukisema Uchaguzi wa 2020 ni CCM Pekee?, Tutakuwa Tunawakatisha Tamaa Wapinzani? au Tunawaandaa Watanzania kupokea Ukweli Mchungu kuwa Tanzania Hatuna Kabisa Upinzani wa Maana?.
P
Pendekezo lipo wazi.Kalamu1, post: 34606549, member: 494040"]
Nimesoma sehemu zote za bandiko, sikupata pendekezo mbadala, kati ya vyama vya upinzani "kushiriki au kutoshiriki" uchaguzi 2020.
Ni kweli kuna nyakati busara hazionekani bali zinafikirisha tu.Kwa hiyo ikanibidi nirudi kwenye mistari hiyo hapo miwili na kuisoma kwa makini kuangalia busara zake. Sikuziona!
Ndipo busara inapoingia, kwamba unaweza kurudi hatua 5 nyuma ili uweze kuruka kiunzi.Yaani, CCM itakuwa imepata ushindi bila kujali kama vyama vingine vitashiriki au havitashiriki kwenye uchaguzi huo, mfano ukiwa ule wa serikali za mitaa.
Nashangaa kwanini hukuona busara hii ambayo kimamtiki nimeieleza vizuri.Ushindi kwa CCM unaweza kukosekana kwa njia moja pekee kama vyama vya upizani (soma CHADEMA) wataweza kuwashawishi wananchi uchaguzi huo usiwepo.