Yanayojiri kuelekea Fainali ya UEFA Champions League | Real Madrid vs Liverpool

Yanayojiri kuelekea Fainali ya UEFA Champions League | Real Madrid vs Liverpool

Ahahahah sas upo timu gani njoo Liverpool tufurahi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nipo neutral, wala sina team ya kushabikia, ila na wish kombe liende England. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Mtu wa mwisho ambae ni beki hapo anahesabika kama kipa so benzema anakuwa kazidi
Sijui umenielewa
Hiyo ni clear offside
 
Eleza ni offside kwa namna ipi maana picha zako zinaonyesha kuna mchezaji wa liver hapo nyuma ya Benzema.
Hujui mpira bado bro.... Shida mnaangalia match moja moja kama hizi....

Offside inaangalia mchezaji wa mwisho regardless ni kipa au lah.

Pia ile ni offside sababu ya deflection kwa fabinho...
 
Eleza ni offside kwa namna ipi maana picha zako zinaonyesha kuna mchezaji wa liver hapo nyuma ya Benzema.
Ni offside kulingana na movement ya mpira benzema aliotea na huyo mchezaji wa nyuma kabisa alikuwa ndani ya goli na fabinho ule mpira umemgonga hivo inakuwa deflection!
 
Second half underway dakika ya 47'
 
Back
Top Bottom