Yanayojiri kuelekea Fainali ya UEFA Champions League | Real Madrid vs Liverpool

Yanayojiri kuelekea Fainali ya UEFA Champions League | Real Madrid vs Liverpool

Dakika ya 86' huku amkeni amkeni amkeni jamani kuna kuku anakaribia kukata roho tumchemshe tunywe supu!
 
20220529_002256.jpg
 
Full Time whistle mpira umeishaaaaaaaa! Real Madrid mabingwa wapya wa UCL 2022 huu ni ubingwa wao wa 14! Hala Madrid!
 
Kaangalie match ya mwisho Chelsea aliyocheza na Totte kuna offside inafanana na hiyo ya Benzema.

Bila shaka unazungumzia ile ambayo Kane alifunga!
Kama ni hiyo ipo tofauti kidogo na hii ya Benzema, maana hakukuwa na mchezaji yeyote wa Chelsea aliyeusa mpira ukasababisha deflection.
Ile ilikuwa rahisi sana kuitambua.., ila ya hii ya Benzema wanacholeta ubishi watu, ni namna ulivyotoka kwa Fabinho ambapo ilikuwa ni deflection kwenda kwa Benzema.
 
Back
Top Bottom