Yanayojiri kwa form6 JKT

Yanayojiri kwa form6 JKT

Van dick

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
223
Reaction score
43
Nimestushwa nakusikitishwa Sana ucku Huu watoto wetu hasa wasichana wanalazmishwa ngono Na baadhi ya askari.nimepokea sim ucku Huu my sissy huko oljoro anafanyiwa visa Na askar hata anataman kutoroka Na kurud home baada ya kumtolea nje ----- mmoja askari. Nimemshauri amshtak kwa kiongoz wake then asiklizie for some dayz akiendelea natarajia niwapandie hukohuko Arusha maana naskia Wa mwaka Jana wamebakwa sana Na vjana Wa JKT.Tusaidiane vyombo husika Na wadau wengine kuweka mambo sawa.Inaumiza ngono za huko si salama Na magonjwa haya.
 
amepataje muda kukuigia cm.ulidhania jeshi mchezo .anatoa sili za jeshi mtandaoni kosa kubwa sana kama unakuja njoo utatukuta usihofu
 
Niliskia wanafundishwa uzalendo, serikali humaanisha jambo hili? Hii ni hatari..
 
Tuwe siriaz na jambo hili jeshi kwa watoto wa kike haifai.
 
Jeshini ni upuuzi aisee. ..inawezekana ni ukweli hiyo issue jkt is hell
 
ili asiendelee kupata tabu hapo kambini bora aachie mzigo ..bila hivo atakula doso mpaka akome
 
Na ndiyo maana this time wameamua kuwachukua wote ili wakubwa wakajilie.
 
Duhh jamaa wana ugwadu kiasi hicho.nway kwa jeshi hyo mambo yapo itabidi sheria kali ya kinidhamu ndani ya jeshi itungwe ili jelipate kuwa na makamanda wenye nidhamu na weledi
 
Nimestushwa nakusikitishwa Sana ucku Huu watoto wetu hasa wasichana wanalazmishwa ngono Na baadhi ya askari.nimepokea sim ucku Huu my sissy huko oljoro anafanyiwa visa Na askar hata anataman kutoroka Na kurud home baada ya kumtolea nje ----- mmoja askari. Nimemshauri amshtak kwa kiongoz wake then asiklizie for some dayz akiendelea natarajia niwapandie hukohuko Arusha maana naskia Wa mwaka Jana wamebakwa sana Na vjana Wa JKT.Tusaidiane vyombo husika Na wadau wengine kuweka mambo sawa.Inaumiza ngono za huko si salama Na magonjwa haya.

Akiweza kutoroka atoroke jeshini ni wabakaji 100%
 
Kama ni kweli anafanyiwa visa aripoti haraka kwa Mp kamanda wa kikosi au MP yeyote main gate

Huyo askari atashughulikiwa haraka sana.I think kozi yao imeanza rasmi.Siku hii na za mbeleni watakuwa na usiku mrefu sana
 
Aki riport ndo atabakwa zaidi !

Kama yeye hiyo ngono hajaridhia basi akimbie tu kambini !

Na mabinti hao wametoka shule wamekaa kidogo tu nakupitiliza jeshini ! We unadhani hawatakuwa na hamu kweli !

Mengi tutawasingizia tu ma Kamanda kumbe na wao wanataka !
 
Ni ukandamizaji wa hali ya juu unafanyika huko nawaambia.Mnakumbuka mwaka jana Tabora? mtoto wa watu mpaka alipoteza maisha.
 
Hyo n kwel mkuuu mm kuna mdogo angu alienda mwaka jana stor alzokuwa ananipa nkasema sitoruhusu ndugu angu yyte kwenda jkt kama haitofanyiwa marekebisho,kwanza zile weeek za mwanzo za kukesha ndo hapo wanajiita makamanda wanapochagua watoto wazur na kuwahadaa kuwatorosha wapate pakulala huku wenzao wakikesha kwa kuimba nyimbo,huko ndo wanakotendwa vizur sasa gues hata kinga hawatumiii,,,iktokea umemkataaa kundi lako litapiga kazi mpaka mjute kuzaliwa au ikitokea mbint yupo karbu na kakaka kenzake ka form 6 katajuta zaliwa..mpaka sasa kuna bint anadate na zeee moja cjui keptain kambi (X) inatia uchungu kumuona yule bint mdogo anabemendwa na hlo zeee linafamilia lakin agriiiiiii,,,nnauchungu sana na hawa raia nliwah post uzi hapa mwakajana bt sikupata kuungwa mkono,jaman tuungane kuwaokoa hao mabint walioenda huko watoto wao hawawapelek coz sheria haijabainisha n adhabu gan hasa itampata mtu aliekaid kwenda jkt kwa mujbu....kama ndo hvo lifutweee tu kwanza linatuongezea gharama tu halna faida,jkt enzi za ujamaaa bhana leo hiii mambo hzo hakuna wawapeleke jobless vyuo vya ufundi wajiajiri sio kupeleka wasomi jeshin...

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Wana bakwa kweli au wao wanajilegeza wafanye kazi ngumu?,kubaka kunaendena na kuchaniana nguo!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Nimestushwa nakusikitishwa Sana ucku Huu watoto wetu hasa wasichana wanalazmishwa ngono Na baadhi ya askari.nimepokea sim ucku Huu my sissy huko oljoro anafanyiwa visa Na askar hata anataman kutoroka Na kurud home baada ya kumtolea nje ----- mmoja askari. Nimemshauri amshtak kwa kiongoz wake then asiklizie for some dayz akiendelea natarajia niwapandie hukohuko Arusha maana naskia Wa mwaka Jana wamebakwa sana Na vjana Wa JKT.Tusaidiane vyombo husika Na wadau wengine kuweka mambo sawa.Inaumiza ngono za huko si salama Na magonjwa haya.

mkuu nipe namba yako ya simu tuongee tujue cha kufanya lakini iwe jambo la kweli kama unaleta utani ntakuvuruga hata wewe lakini kama ni jambo la kweli uwezekano wa kumsaidia upo wazi kisheria na kijeshi tunataka vijana wafanye mafunzo kwa amnai tupia namba hapa tuongee mkuu.
 
Back
Top Bottom