Hyo n kwel mkuuu mm kuna mdogo angu alienda mwaka jana stor alzokuwa ananipa nkasema sitoruhusu ndugu angu yyte kwenda jkt kama haitofanyiwa marekebisho,kwanza zile weeek za mwanzo za kukesha ndo hapo wanajiita makamanda wanapochagua watoto wazur na kuwahadaa kuwatorosha wapate pakulala huku wenzao wakikesha kwa kuimba nyimbo,huko ndo wanakotendwa vizur sasa gues hata kinga hawatumiii,,,iktokea umemkataaa kundi lako litapiga kazi mpaka mjute kuzaliwa au ikitokea mbint yupo karbu na kakaka kenzake ka form 6 katajuta zaliwa..mpaka sasa kuna bint anadate na zeee moja cjui keptain kambi (X) inatia uchungu kumuona yule bint mdogo anabemendwa na hlo zeee linafamilia lakin agriiiiiii,,,nnauchungu sana na hawa raia nliwah post uzi hapa mwakajana bt sikupata kuungwa mkono,jaman tuungane kuwaokoa hao mabint walioenda huko watoto wao hawawapelek coz sheria haijabainisha n adhabu gan hasa itampata mtu aliekaid kwenda jkt kwa mujbu....kama ndo hvo lifutweee tu kwanza linatuongezea gharama tu halna faida,jkt enzi za ujamaaa bhana leo hiii mambo hzo hakuna wawapeleke jobless vyuo vya ufundi wajiajiri sio kupeleka wasomi jeshin...
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨