Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mwanza na Mara


Well, Lissu hutumia muda mwingi wa kampeni zake kuhutubia wananchi wa miji midogo kwa sababu uelewa wao haulingani na wanaokaa miji mikubwa, ndio maa mikutano yake huwa ya mwisho katika miji mikubwa. Hata hivyo ratiba inabana na naamini team ya kampeni imeshaliona hilo na halitatokea tena.
 
Na inapo tokea wamechelewa kuwe na muda wa kuomba radhi kwa wahudhuriaji with reasons.. Tutaeleweka
 
Chadema ni wababishaji mkuu,

Ndio maana huwa tunasema hawafai kuongoza nchi,

Nakuhakikishia wakiingia ikulu hawatamaliza hata miezi wananchi watawaondoa kwa nguvu.

Kipimo kidogo tu ni ofisi waliyonayo, unaweza sema sio lazima lakini how on earth chama kinachotaka kuongoza nchi hakina makazi ya kudumu, kutokuwa na makazi ya kudumu hizo ni hulka za kipigaji.
 
Hapo umechemsha. Kila kitu kinafanywa with purpose and plan.
Ofisi karibu zote Ccm inazo miliki wamewaibia Watanzania. Hata mimi nilichangia kuzijenga wakati wa chama kimoja.
Ccm ikazipora wakati wa kuanzishwa kwa vyama vingi.
Ukiwauliza Ccm ofisi walizo jenga baada ya vyama vingi unaweza usipate hata moja.
Kama Ccm wasinge kuwa wezi mali zote za kabla ya vyama vingi zilitakiwa zirudi serikalini waanze fresh kama vyama vingine. Hebu wapeni Chadema hiyo miezi miwili muone Tanzania itakavyo paa..
Mfano chukueni kwenye halmashauri zilizo ongozwa na upinzani. Hakuna hati chafu, na maendeleo yako tofauti na halmashauri za mchwa Ccm.
 
... nimesikiliza kikao chake na waandishi muda mfupi uliopita; kwa kweli ni chakula bora cha ubongo!
Kwenye suala la akili na uwezo Lissu anamzidi mgombea wa ccm kwa mbaaali sana. Nadhani kwenye hili hata Magu moyoni anajua hivyo.
 
Anaongoza kura za maoni za wapi? Humu Jf? Uongo wa kipuuzi ambao haukisaidii Chadema. Na watu kama nyie ndio mnachangia Chadema kufanya vibaya.
 
Tukichukua nchi, mnahamia Ufipa, sisi tunachukua Lumumba! Piga maselfie ya kukutosha, una less than a month kuwa hapo!
 
Kama alizuiwa igoma watu wamelala njiani awataki aondoke mlitaka afanye aje

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Viwanja vya michezo Je? Tulilipia toka kwenye mishahara yetu, pombe, guest house n.k. Leo si vyetu tena.
 
Tukichukua nchi, mnahamia Ufipa, sisi tunachukua Lumumba! Piga maselfie ya kukutosha, una less than a month kuwa hapo!
Huu utetezi wa kitoto Sana kwamba eti hamna makazi ya kudumu kwakua mnasubiri muitoe CCM madarakani ili mchukue ofisi zake??

What a waste!!
 
Mwaka huu mtakojoa damu kama ng'ombe anaugua Babesiosis!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…