Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Yaani kalenga mulemule!!! Najua leo CCM lazima watafutane!!du... ila Tundu Lissu leo katema sumu ya kufa mtu Mbarali aisee.
sumu ni kali sana ile.... du!
Kwani hiyo picha ni Photoshop hiyo picha ni halisi ukisema namkejeli kwa kitu halisi unaonesha hujui hata maana ya kejeliUnapost vp picha ya hivyo alafu unasema sio kejeli?
Kwa sheria ya cybercrime hata kushare tu malicious content ni kosa. Kwa muktadha huo kutuma picha inayokejeli ina maana na wewe umehusika kwenye hiyo parody.
Kwahiyo kisheria nipo sahihi kabisa sijaropoka.
Kusema anapigwa jeki kama gari, na ukiwa pia unajua sababu ya ugonjwa wake, siyo kejeli! Ni nje ya ubinadamu au unyama wowote, ni kiwango cha juu cha ushetani!Kwani kuna popote nimemkejeli au unaropoka tu
Uwe unaelewa wewe boya, tafautisha kutafuta wadhamini na kampeniMbona anarudia Mbeya na Njombe kila siku?Wiki moja na nusu hivi aliwakusanya kwa malori watu wa Njombe ,Mbeya,Songwe.Wakawatambulisha mpaka wabunge.Leoanarudi huko huko.He ,maeneo ya Ruvuma hayaoni?Maeneo ya Kigoma hayaoni?Ameishiwa pumzi huyu.
Kejeli ni hayo maneno yaliyowekwa hapo kuwa ''kapigwa jeki''. Hivi Mama yako akibakwa akashindwa kutembea mpaka asaidiwe alafu ukute anadhihakiwa hivo ungejiskiaje wakati alisababishiwa ulemavu na watu wabaya.Kwani hiyo picha ni Photoshop hiyo picha ni halisi ukisema namkejeli kwa kitu halisi unaonesha hujui hata maana ya kejeli
Kwangu hayo maandishi naona sawa maana kapigwa jeki kweli wala sio uzushi au eti kejeliKejeli ni hayo maneno yaliyowekwa hapo kuwa ''kapigwa jeki''. Hivi Mama yako akibakwa akashindwa kutembea mpaka asaidiwe alafu ukute anadhihakiwa hivo ungejiskiaje wakati alisababishiwa ulemavu na watu wabaya.
At least fikiria kwa angle ya familia yake tu kabla ya kujitoa ufahamu kisa siasa. Hizi laana mnajiletea kwa koo zenu alafu mnakuja jiuliza mlikosea wapi kumbe ni upuuzi mlioshabikia huko nyuma.
Kiukweli umenikwaza sana mkuu.
Zile nyau zilizokua zinasema upinzani umekufa rasmi mbona hazisemi tena
WORK DONE BY 50% NDANI YA 16 DAYS TULeo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika
View attachment 1570337
========
UPDATES
Njombe MjiniView attachment 1570470View attachment 1570471View attachment 1570473View attachment 1570472
=========
UPDATES 2
Lissu aingia Mbarali
View attachment 1570647View attachment 1570648
View attachment 1570337
View attachment 1570451
View attachment 1570470View attachment 1570471View attachment 1570472View attachment 1570473View attachment 1570647View attachment 1570648
View attachment 1570706
View attachment 1570707View attachment 1570708View attachment 1570709View attachment 1570710View attachment 1570708View attachment 1570709View attachment 1570710
Kuuwa upinzani sio rahisi kama kufanya ngonoZile nyau zilizokua zinasema upinzani umekufa rasmi mbona hazisemi tena
Zilikuwa zinabweka tu sisi tunazichoraHizo nyau ndizo zimekufa ujue 😂😂
Kuwa upinzni ni devotion kweli kweli, kwa awamu ya tani wabunge wetu wametumia karibu robo ya muda wao wote wakiwa aisha mahakamani au mahabusu kwa kesi za kutengeneza na kukomoana achilia mbali kuharibiwa mali zao na miradi yao binafsi.Kuuwa upinzani sio rahisi kama kufanya ngono
Walidhani wanawabomoa kumbe wamewajenga.Kuwa upinzni ni devotion kweli kweli, kwa awamu ya tani wabunge wetu wametumia karibu robo ya muda wao wote wakiwa aisha mahakamani au mahabusu kwa kesi za kutengeneza na kukomoana achilia mbali kuharibiwa mali zao na miradi yao binafsi.
Na masilaha hayo watoto wengine wanajutia kuwa hapoZa halisi hizi hapa
View attachment 1570661
Huu mwaka damu zitamwagika...walizoea vya kunyonga mafala haya
Hao pusi wanatamani hata kuwauwa hao watu wanaoenda kwenye mikutano ya Lissu kwa jinsi roho zinavowauma, yule mgombea wao wa urais (makufuli) watu wa kagera walisikika wakisema hatukutaki baada ya kuwa amewauliza kama watamchagua, nasikia ameagiza polisi wawakamate hao waliosema hatukutakiZile nyau zilizokua zinasema upinzani umekufa rasmi mbona hazisemi tena
Huyo Meko alikuwa analialia kule geita anawaomba wasukuma wampe kura eti kwa sababu yeye ni mtoto wa hapo kwao,Walidhani atagombea ubunge,kumbe uraisi.ngoma ngumu memo alilishwa matango poli na vilaza wake wale.kiufupi polepole na Bashiru siasa haiwezi.Eti wanafunga mitambo Leo hii jiwe anahangaika na mitambo aliyoaminishwa.
Hao pusi wanatamani hata kuwauwa hao watu wanaoenda kwenye mikutano ya Lissu kwa jinsi roho zinavowauma, yule mgombea wao wa urais (makufuli) watu wa kagera walisikika wakisema hatukutaki baada ya kuwa amewauliza kama watamchagua, nasikia ameagiza polisi wawakamate hao waliosema hatukutaki