Yanayojiri kwenye maandamano ya watanzania waishio marekani IMF- Pennsylvania

Yanayojiri kwenye maandamano ya watanzania waishio marekani IMF- Pennsylvania

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Leo tarehe 23 may, kutakuwa na maandamano makubwa sana, ya watanzania,waafrika na watu wengine, katika ofisi za makao makuu ya IMF, hapa Pennsylvania.
Lengo ni kukemea udhalimu, udikteta, utekaji,ubakaji,ufilaji,na kufinywa Kwa demokrasia Tanzania.

Next ni office za US Senete

Stay tuned
 
Haya tuone huku kunakofukuzwa marefugee ndio mnataka kuandamana naona kama kuna urahisi fulani hivi kwa Serikali ya USA .
Haya kila la eri
 
Hapo kwenye "Ufilaji" wataangukia pia. Hiyo Belgium project
 
Leo tarehe 23 may, kutakuwa na maandamano makubwa sana, ya watanzania,waafrika na watu wengine, katika ofisi za makao makuu ya IMF, hapa Pennsylvania.
Lengo ni kukemea udhalimu, udikteta, utekaji,ubakaji,ufilaji,na kufinywa Kwa demokrasia Tanzania.

Next ni office za US Senete

Stay tuned
Njia sahihi ya kukopesha huu udikteta ni no reforms no election
 
Back
Top Bottom