Yanayojiri kwenye maandamano ya watanzania waishio marekani IMF- Pennsylvania

Yanayojiri kwenye maandamano ya watanzania waishio marekani IMF- Pennsylvania

Leo tarehe 23 may, kutakuwa na maandamano makubwa sana, ya watanzania,waafrika na watu wengine, katika ofisi za makao makuu ya IMF, hapa Pennsylvania.
Lengo ni kukemea udhalimu, udikteta, utekaji,ubakaji,ufilaji,na kufinywa Kwa demokrasia Tanzania.

Next ni office za US Senete

Stay tuned
Chura yuko majini akiinuka hali ya hewa imechafuka
 
Hiyo sio njia sahihi ya kupambana na CCM

Njia sahihi ya kupambana na CCM anayo HECHE na LISU
Njia zote zitatumika, kama na wewe unayo nyingine unayoijua iweke kwenye mpango kazi watu waitumie, lengo ni moja tu.
 
Back
Top Bottom