Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
NgombeHapo kwenye "Ufilaji" wataangukia pia. Hiyo Belgium project
Mkuu, kwani njia yao ni moja tu?Hiyo sio njia sahihi ya kupambana na CCM
Njia sahihi ya kupambana na CCM anayo HECHE na LISU
Na sisi lazima tufanye kazi yetu,alikuja US alizomewa ikabidi apitie mlango wa nyumaHiyo sio njia sahihi ya kupambana na CCM
Njia sahihi ya kupambana na CCM anayo HECHE na LISU
Lazima dikteta akabiliwe nje na ndani ya nchiSafi sana wanetu
Exactly 💯 mkuuLazima dikteta akabiliwe nje na ndani ya nchi
No Reforms No Elections imeenda kimataifa sasaHaya tuone huku kunakofukuzwa marefugee ndio mnataka kuandamana naona kama kuna urahisi fulani hivi kwa Serikali ya USA .
Haya kila la eri
Tuliza uhoroPicha ziko wapi?
Njia sahihi ya kukopesha huu udikteta ni no reforms no electionLeo tarehe 23 may, kutakuwa na maandamano makubwa sana, ya watanzania,waafrika na watu wengine, katika ofisi za makao makuu ya IMF, hapa Pennsylvania.
Lengo ni kukemea udhalimu, udikteta, utekaji,ubakaji,ufilaji,na kufinywa Kwa demokrasia Tanzania.
Next ni office za US Senete
Stay tuned
IMF ndiko kunako fukuzwa refugee?Haya tuone huku kunakofukuzwa marefugee ndio mnataka kuandamana naona kama kuna urahisi fulani hivi kwa Serikali ya USA .
Haya kila la eri
Lakini inasaidia kuwajulisha wadhamini wa CCM kuwa huku Tanganyika,rais mzanzibar anawaua watanganyika kama kukuHiyo sio njia sahihi ya kupambana na CCM
Njia sahihi ya kupambana na CCM anayo HECHE na LISU