harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
Majini yapo kwa mwamposa hukoBila shaka huyu ticha muislam anafikiri hao watoto wanajinni mpk awachape unyayoni
kwa kweli siyo haki hata kidogo kuwapiga watoto kwenye nyayo namna ile.Tafadhali ni nani anayejua hii shule?????View attachment 2494390
Si kweli mkuu. Mimi mwalimu kwa 10 years + lakini sijawahi Fanya ukatili wa namna hii, ni mtu husika tu!!Si walimu wote hufanya hivyo!
Acha kutetea uovu! Angekuwa ni Mwanao anafanyiwa kiyendo kama hicho ingekuwajeAcheni kukuza mambo,mbona ni adhabu ya kawaida hyo,sijaona cha ajabu hapo labda kama wengi wenu humu mmesomea international school ndo mtashangaa haya